Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

Wanataka wao tu ndio waimbe mapambio ya kumsifu Putin, ningewaelewa kama wangeshinda pale Kiev, lakini kwa namna walitolewa kwa aibu, huwa nawacheka sana.
Eti watu wanaacha sehemu muhimu kama Kyiv ambayo wangeiteka ingewasaidia sana kupunguza vita, wanarudi nyuma
 
Piga takataka Putin
 
Wamebaki kupigana vita ya comments na kujaza thread tu hapa.Wakiguswa kidogo wanaripuka kwa jazba kwa frustration walizonazo baada ya Putin kushindwa kuprove kuwa yeye ni Supapawa pale Kyiv
Kumbe upo?
 
Modes ban ziendelee kunolewa kuna nyang'au kaanza kujitungia news hata ukraine wenyew wanashangaa kwa hatua waliopelekwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anayeitaji chuma kutoka UKRAINE aniambie.nipo hapa wakala wa WARUSI.malipo yanafanyika kwa Ruble

huyu mkenya akishatafunaga mirungi yake hua anapenda kujifariji sana
Nimeshajiridhisha kuwa huyu MK 254 ni mtanzania wala so Mkenya. Angalia tu jinsi alivyo na Maneno meeengi yasiyo na mantiki . wakenya huwa wapo Straight. Ametumia tu fake Id.
 
Ujue Kuna kurasa nyingine huwa sijisumbuhi kusoma Kama ya mtoa mada maana havijitosherezi kabisa.
Ila tunatofautiana mahaba Kama huyo hapo ni pro Ukraine. Anajiandikia Vitu visivyo na chanzo. Chanzo ni fikra zake.
 
Husomi kabisa halafu wakati huo huo unacoment,unakuwaje mtu mzima halafu muongo? Halafu hapa hakuna kurasa ila kuna Thread [emoji846]
 
Husomi kabisa halafu wakati huo huo unacoment,unakuwaje mtu mzima halafu muongo? Halafu hapa hakuna kurasa ila kuna Thread [emoji846]
Hawa ni comedians yaani, huchekesha sana.
 
maveeee
 
Miji inatekwa kila kukicha
 
Unaizungumzia Zimbabwe au Urusi? Hebu KATA GOGO kwanza halafu uje
 
Mambo ni magumu kwa Russia hiv ujiulizi huko donbas Russia anasiku ya ngapi anapiga kila aina ya silaha lakini wapi jamaa wapo...sasa hiv nimesikia kawaalika waarabu wa Syria waje wamsadia hii inamaana gani?

Mfano uko kwako jamaa kuna mtu anaingia sebleni kwako anataka kukutoa nje anashindwa anaamua kuita watu wamsaidie ili utolewe nje hapo kwa akili yako nani kashinda?aliyekuja kukutoa au wewe uliyegomea ndani kuwa hutoki?

PRO RUSSIA PUNGUZENI MAHABA
MKUBWA ANAAIBIKA HUKO PAMOJA NA MIGUVU YOTE ALIYONAYO RUSSIA DOGO BADO ANAMPELEKA MBIO PUTIN...
 
Wanataka wao tu ndio waimbe mapambio ya kumsifu Putin, ningewaelewa kama wangeshinda pale Kiev, lakini kwa namna walitolewa kwa aibu, huwa nawacheka sana.
Putin kiande kama viande wengine....
 
Chanzo chenyewe Cha ukraine,hiyo ni motisha TU Kwa wapambanaji wao🚶,hawezi kubali anakula kichapo kweli kweli,kwani itawavunja moto wapambanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…