Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba.
Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma.
Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa KISHERIA na wajumbe wake walikula KIAPO mbele ya Rais kabla ya kuanza Kazi. Hiki KIKOSI KAZI hakiko kisheria na sijaona yeyote akila kiapo. Je wajumbe wake waliapishwa lini na walikula kiapo mbele ya Rais au Msajili?
Tusubiri MAPENDEKEZO ya KIKOSI KAZI halafu uyafananishe na mapendekezo ya hizi Tume za Majaji. Utaratibu wa kukusanya maoni yanayogusa Jamii yote ya mTZ, sio jambo la kuchukulia kiwepesi wepesi hivi! Wajumbe wa KIKOSI KAZI hawana historia nzuri za kimaamuzi kwenye DEMOKRASIA.
======================
Maoni ya Mdau mmoja wa Twitter akimjibu Fatma Karume aliyesema Kikosi Kazi ni tume ya Rais Sawa na Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba.