Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

Katiba mpya itapatikana 2026. Mchakato wa HAKI unaanza mdogo mdogo. Kufika Decemba mtoto atakuwa ameanza kucheza TUMBONI mwa mama TANZANIA. Amen.
Kuna Mdada tena MWANASHERIA anapotosha anafananisha Tume za Nyalali Kisanga na Warioba sawa na KIKOSI kazi ambacho hakipo kisheria

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
“Hivi, mapendekezo yaliyotolewa na Majaji hayana maana, leo mnataka tusikilize mapendekezo ya KIKOSI KAZI! Kikosi chenye wajumbe wasio hata na uelewa wa sheria? Ni nani wa kusikilizwa kati ya Jaji Nyalali, Kisanga & Warioba au tusikilize watu kama Mkandala, Jecha na Babu tale?”
 
Tume ya kijaji unaijua wewe?.

Tume za Nyalali na Kissanga hazina tofauti na tume za Makinikia. Ni uamuzi tu wa Raisi kuunda tume
 
Kuna Mdada tena MWANASHERIA anapotosha anafananisha Tume za Nyalali Kisanga na Warioba sawa na KIKOSI kazi ambacho hakipo kisheria

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hicho kiinimacho ndo walitaka na CDM wajoin, CCM Haina haja na Katiba mpya, wanaotafuta Kila njia wachepushe mchakato wa KATIBA. Bt wamemshindwa. Amen
 
Tume ya kijaji unaijua wewe?.

Tume za Nyalali na Kissanga hazina tofauti na tume za Makinikia. Ni uamuzi tu wa Raisi kuunda tume
Hizo ziliundwa na rais wajumbe wake wakaapa mbele ya rais maana yake wakikosea wanawajibishwa kisheria hawa kina babu tale utawawajibisha wapi.
 
Hicho kikosi kazi kinapeleka hayo mapendekezo kwa nani,Hugo msajili aliteuliwa na nani ili aunde kikosi na kwa sheria ipi
 
Tume ya Nyalali na Kisanga zilikuwepo kwa mujibu wa sheria gani?
Wajumbe waliapa na viapo vipo kisheria (ibara ya 42(5) ukiapa hasa mbele ya rais maana yake lazima utekeleze kazi na maangizo uliyopewa, amri ya rais ni sheria ukiipuuza unaweza kupelekwa mahakamani.
 
Waliapishwa na nani?
E4D2D151-31D4-4806-B1A6-2543C4B6D11D.jpeg
 
Kikosi kina maswali mengi kuliko majibu
 
Wakati wa Tume ya Nyalali ilipoundwa, JK alikuwa waziri Junior kabisa kwenye serikali ya Mwinyi
Usilazimishe vitu ambavyo havipo, wakati wa tume ya nyalali 1990 mitandao ya kijamii haikuwepo sanasana magazeti na tv ndio zilikuwa zimeanza kwa Tanzania, umepewa sheria iliyounda tume bado unataka picha wakati wanaapa ili u prove nini.
 
Nadhani ungesoma tena kilichoandikwa kwenye ile taarifa ujiridhishe kama kuna popote mle kunapozungumziwa sheria ya kuanzisha hiyo tume au kunazungumziwa tu sheria 40 ambazo tume hiyo ya Nyalali iliona kuna umuhimu wa kuzifuta ili kujenga mazingira ya siasa za haki nchini!.
 
Back
Top Bottom