Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

Ma shaa Allah, jiulize wewe ulipatikana vipi. Alipigwa nini, mapambio?
 
Ni ukosefu mkubwa wa akili na maarifa ya kujitambua.

Mungu gani awe busy kugawa bikra kwa watu wanaoenda kwake wakiwa na damu za watu aliowaumba yeye mikononi mwao?logic ndogo sana lakini watu wazima wanashindwa kuing’amua.
Wana akili sasa ya kuhoji?.Ukiwa kwenye hiyo dini unageuka zezeta.
 
Ma shaa Allah, jiulize wewe ulipatikana vipi. Alipigwa nini, mapambio?
Bibi usisherehekee ngono hakuna Mungu mwenye muda wa kukufurahisha wewe na ngono amsha akili hiyo.

Kwa nini asiwape tu utulivu wa nafsi kutokana na pilika mlizokuwa nazo duniani ila awape ngono?kwanini ngono au na yeye anapenda ngono?
 
Waliomuua Joshua unawashangilia hahaha hakika ujinga hauchagui jinsia
 
Waliomuua Joshua unawashangilia hahaha hakika ujinga hauchagui jinsia
Sisi Waislam tunaamini hakuna anaeweza kutowa uhai wa mtu isipokuwa aliyekupa huo uhai.

Jisomee hapa mada ya Joshua:

Bibi usisherehekee ngono hakuna Mungu mwenye muda wa kukufurahisha wewe na ngono amsha akili hiyo.

Kwa nini asiwape tu utulivu wa nafsi kutokana na pilika mlizokuwa nazo duniani ila awape ngono?kwanini ngono au na yeye anapenda ngono?
Sasa wewe ndiye uliyesema ukanipa moyo, sasa wewe tena ndiye unaenivunja moyo. Kulikoni?

Umewahi kuisoma Qur'an au unafata wenye chuki tu, kuandika hovyo?
 
Leo mazayuni wameamuwa kukiondowa kikosi chao maarufu cha "Golani Brigades" huko Ghaza.

Wao wanasema wana jipanga upya, lakini wachambuzi wa mamo ya kijeshi wansema wanapinguza hasara ya watu na vifaa wanavyopata hapo Ghaza.

Vyovyote iwavyo, cha msingi ni kuwa wamechezea kichapo mpaka wanaondoka hapo bila kumaliza kazi iliyowapeleka:

View: https://youtu.be/z6tanppgceI?si=sBkB9_Bh9lP4yixo
 
Mada ya vita mnaleta udini. Mama watie pini wajalaana hao.

Ukiikosoa tu israhell unaonekana mdini.

Bi mkubwa mbona hajatoa mada ya Vatican na Rome yake?. Hamna maadili nendeni mkabalikiwe

Shubamiti.
 
Hilo kombe inabidi lipelekwe iran faster likaongezewe maujuzi na uzalishaji uwanze faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…