Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

Hao wazungu waliowapeleka Waisrahell Mashariki ya kati ni vichaa kama sio wenda wazimu yani Waisrahell hawatokaa kwa amani kamwe maana hamna kiumbe chochote kwenye uso huu wa dunia anayeweza kupigana na Mwarabu akawashinda
 
kwamba ukidungua ndege moja ya idf unakuwa umeshinda vita , huku wapalestina elf 20 wamekufa , pia watu million 1 hawana makazi , hv waislam nan aliwaroga?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hao wazungu waliowapeleka Waisrahell Mashariki ya kati ni vichaa kama sio wenda wazimu yani Waisrahell hawatokaa kwa amani kamwe maana hamna kiumbe chochote kwenye uso huu wa dunia anayeweza kupigana na Mwarabu akawashinda
Waliwapeleka huko kwa wao kukoseshwa amani. walikuwa na uhasama mkubwa sana wa kidini huko Ulaya, baina ya Wakristo na wayahudi.

Huo uhasama mpaka leo upo, israel mpaka leo ukijionesha kuwa mkrisyo wanakuona najisi mla nguruwe, unatemewa mate wazi wazi barabarani.

Hao siyo watu wenye maana kabisa, ni wabaguzi kupita mfano, wao ndiyo chanzo cha ubaguzi wote duniani. Wana fitna, wana majungu, wana ushetani wa hali ya juu hizaya hao.

Wazungu waliwatema, masikini Warabu wakawapokea, kumbe wamelipokea balaa.
 
kwamba ukidungua ndege moja ya idf unakuwa umeshinda vita , huku wapalestina elf 20 wamekufa , pia watu million 1 hawana makazi , hv waislam nan aliwaroga?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Haijalishi, huo ni ushindi mkubwa sana kwa Wapalestina, mwezi wa tatu unakaribia huu, vijana wako ngangari.

Wewe umeliona kombe hilo na vimbwanga vyake? madogo hayo kwa kikundi cha wanamgambo kushindana na jeshi kali duniani?
 
Waislamu hawakuwapokea ilikuwa niamri toka kwa British. Ila chaguo LA kwanza walitakiwa kupelekwa Uganda .baadae waka pendekeza Palestine.chuki ya waisrael dunian kote ilikuwa nikiwaona wao ndio walimuua yesu sasa mataifa yaliwachukia ndio mana Hitler alitaka kuwafuta kabisa.
 
Vyovyote vile, kila mmoja na uelewa wake. Sasa tupo kazini kuhakikisha Wapalestina wanaipata haki yao kwa nguvu au kwa hiyari.
 
HAKIKA Allah hawatupi waja wake
Inshaallah Hamas na Waislamu wote watashinda katika hii vita na nyinginezo dhidi ya mayahudi na manaswari
 
Kuna watu hawana akili halafu wanaongozwa na kujiamini. Eti waliouleta ukristo walikaribishwa waisalamu🤣🤣

SMH!!! Anyways hongereni kwa kombe🎓
 
Hili kundi jpya lililojitokeza Ghaza ni hatari kuliko Hamas:

Your browser is not able to display this video.
 
Ngono ni sitarehe kuliko sitarehe yeyote hapa ulimwenguni sasa mapambio yana faida gani zaidi ya kupayuka kama kichaa na kujichosha?

Ww mama yako asinge fanya ngono na baba yako ww ungekuwepo hapa ulimwenguni ukiimba hayo mapambio unayo yasema?

Au ww huyo mke uliye naye umemuoa ili kuimba mapambio kitandani?
Mkitaka kuandika jambo muwe mnalipima ili msioneshe jinsi mlivyo wapumbavu.
 
Heheeee
Naunga mkono hoja
 
Acha uongo. Walichukiwa kwasababu ya kujifanya wajuaji na specially yahani ni wateule wa mungu na roho zao mbaya za ubaguzi
 
FaizaFoxy ni lini utajiunga na HAMAS na wewe ukawasaidie kukamata Kombe la Vita kama hilo? Maana Hamas wanahitajika kuyakamata mengi hayo makombe ya Vita (Trophy) kutoka Jeshi la Mazayuni Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…