SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Taarifa zaidi zinadokeza
kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Alishasema hatamung'unya kitu.Mbowe kweli alikosea kuingiza Zanzibar na Wazanzibar, angepinga tu kama mtu mwelewa.
Ukakasi kwenye tamko la mbowe,ni kusema na kutaka kuhuaminisha umma kwamba uzenj wa makame na Samia ndio umeiuza bandsri!!Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.
Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.
Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Jokakuu! Vp wewe ulipata nini zaidi ya kufukuzwa shule kipindi kile!
Alichoongelea Mbowe ni mkataba kuhusisha bandari zote Tanganyika, anachoongea kibajaji ni kuihusisha bandari ya Dar. Hapo unapima vipi? Ingekuwa bandari ya Tanga asingeleta swala la uzanzibari na utanganyikaMimi na wewe wote, wasikilizaji tu.
Mjumbe auwawi, mi nimeleta habari tu.
Anyway anadai Mbowe mzushi tu ina maana akiwa raisi ataongelea mlima Kilimanajaro kwa sababu ndipo alipo toka nakuacha maswala mengine ya kitaifa.
Anamtuhumu baba mkwe wake mzee Mtei kuiba hela bank kuu na kuichoma moto kupoteza ushahidi akiwa gavana.
Anadai shida ya Mbowe ni kuwa mwenyekiti wa muda mrefu, mpaka kuishiwa maarifa.
Na mengine kadha wa kadha.
Daaah, I'm sorry mkuu, kanikera sana huyo jamaa.. matokeo ya shuleni yanaingiaje kwenye jambo nyeti kama hili?? Hawa Jamaa ni mapimbi mnoMaseta! Mbona una makasiriko na matusi ! Ila huyo Fala hata mimi nampuuza!!! Matokeo ya mtu yeye yanamhusu nini ! Kama yeye alifaulu aweke matokeo yake hapa kumpafu zake kenge huyo!
Alichoongelea Mbowe ni mkataba kuhusisha bandari zote Tanganyika, anachoongea kibajaji ni kuihusisha bandari ya Dar. Hapo unapima vipi? Ingekuwa bandari ya Tanga asingeleta swala la uzanzibari na utanganyika
Nasimama na Mbowe.Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.
Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.
Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Chadema inapaswa ifanye the same kwa kuwajibu hao washenzi na wapumbavu wa ccm.
Ni mashambulizi au kumjibu. Huyo hapo mmoja kibajaji keshaanza.
Siasa za Tanzania lakini
Division 0 anayejambisha maprofesa uchwara kina kabudi.Hakuna mwenye muda wa kumshambulia mtu alopata Division 0 Form 4
Wataboresha gati zote, ila wataendesha baadhi...kwa hiyo Dubai watachukua gati kuanzia namba 0 mpaka gati namba 7.
..ukimsikiliza Kibajaji anadai mkataba unahusu gati namba 5 na 7.
..Luhaga Mpina na Tundu Lissu ndio wamefafanua suala hili vizuri zaidi.
..bado sijasikiliza alichosema Freeman Mbowe.
Hivi pesa zako akitumia vibaya mtoto wako, au likitumia lijitu tu, ni sawa?Ukakasi kwenye tamko la mbowe,ni kusema na kutaka kuhuaminisha umma kwamba uzenj wa makame na Samia ndio umeiuza bandsri!!
Ukweli ni kwamba bila kujali asili ya MTU,ccm hawajawaji kuwa wema kwa nchi hii,skandali za Richmond,escrow,meremeta,,na wizi wa maghu,wote huo ulifanywa na watu wenye asili ya "utanganyika"
Tusianze kuaminishana kwamba,Mali ya Tanganyika akiiba mtanganyika ni poa,inanibidi Mimi mtanganyika nione sawa hata kama naumia kwa vile TU kaiba mtanganyika,ila Mali ya Tanganyika ikiibiwa na mzenj,hapo ndio utaona watanganyika wanakuja juu!!
Tuache unafiki,Samia,makame,na ccm wote ni wezi,na balaa kwa ustawi wa nchi hii,na hii sio kwasbabu ya uzenj wao,
Yqlikuwepo majizi mengine,mkapa aliuza mashirika yote kwa Bei poa,mke wa mwinyi alikuwa mwizi wa dhahabu,kikwete ndio aliingia mikataba ya hovyo ya gesi na madini.
Mbowe asishambulie watu kwa utaifa wao,wezi ni wezi TU,wapo serikalini,hata upinzani,
mtafanyaje sasa hao wazanzibar waende zao hawana maana yoyote hata kura zao hazizid laki tano yan hata wapiga kura wa mkoa wa simiyu hawawafikii wanini sasa hao wala urojo.Mbowe kweli alikosea kuingiza Zanzibar na Wazanzibar, angepinga tu kama mtu mwelewa.