Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Taarifa zaidi zinadokeza

kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Hivi, nauliza tu; Mbowe huwa anashambuliwa au anajishambulia?

Changa hili......Tunataka Bandari yetu!

Kamata haoooo, shika haoooo

Naendelea kuamini,Maridhiano, nyuma ya pazia, ni Kugawana Dola tu. Mengine, tumia udadisi wako tu...
fb_img_1589397986327-jpg.1803841
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.

Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.

Mungu Ibariki CHADEMA.
Ukakasi kwenye tamko la mbowe,ni kusema na kutaka kuhuaminisha umma kwamba uzenj wa makame na Samia ndio umeiuza bandsri!!
Ukweli ni kwamba bila kujali asili ya MTU,ccm hawajawaji kuwa wema kwa nchi hii,skandali za Richmond,escrow,meremeta,,na wizi wa maghu,wote huo ulifanywa na watu wenye asili ya "utanganyika"
Tusianze kuaminishana kwamba,Mali ya Tanganyika akiiba mtanganyika ni poa,inanibidi Mimi mtanganyika nione sawa hata kama naumia kwa vile TU kaiba mtanganyika,ila Mali ya Tanganyika ikiibiwa na mzenj,hapo ndio utaona watanganyika wanakuja juu!!
Tuache unafiki,Samia,makame,na ccm wote ni wezi,na balaa kwa ustawi wa nchi hii,na hii sio kwasbabu ya uzenj wao,
Yqlikuwepo majizi mengine,mkapa aliuza mashirika yote kwa Bei poa,mke wa mwinyi alikuwa mwizi wa dhahabu,kikwete ndio aliingia mikataba ya hovyo ya gesi na madini.
Mbowe asishambulie watu kwa utaifa wao,wezi ni wezi TU,wapo serikalini,hata upinzani,
 
Jokakuu! Vp wewe ulipata nini zaidi ya kufukuzwa shule kipindi kile!

..Ccm hawana uhalali wa kuwacheka Chadema kuhusu matokeo ya mitihani ya sekondari ya Wenyeviti wao.

..Tatizo la Ccm ni kuwa na vijana wengi wavivu wasiofanya utafiti kabla ya kujibu hoja majukwaani.

..Wangekuwa wanafanya utafiti wasingeibua hoja ya matokeo ya Mbowe ya Form 6.
 
Mimi na wewe wote, wasikilizaji tu.

Mjumbe auwawi, mi nimeleta habari tu.

Anyway anadai Mbowe mzushi tu ina maana akiwa raisi ataongelea mlima Kilimanajaro kwa sababu ndipo alipo toka nakuacha maswala mengine ya kitaifa.

Anamtuhumu baba mkwe wake mzee Mtei kuiba hela bank kuu na kuichoma moto kupoteza ushahidi akiwa gavana.

Anadai shida ya Mbowe ni kuwa mwenyekiti wa muda mrefu, mpaka kuishiwa maarifa.

Na mengine kadha wa kadha.
Alichoongelea Mbowe ni mkataba kuhusisha bandari zote Tanganyika, anachoongea kibajaji ni kuihusisha bandari ya Dar. Hapo unapima vipi? Ingekuwa bandari ya Tanga asingeleta swala la uzanzibari na utanganyika
 
Maseta! Mbona una makasiriko na matusi ! Ila huyo Fala hata mimi nampuuza!!! Matokeo ya mtu yeye yanamhusu nini ! Kama yeye alifaulu aweke matokeo yake hapa kumpafu zake kenge huyo!
Daaah, I'm sorry mkuu, kanikera sana huyo jamaa.. matokeo ya shuleni yanaingiaje kwenye jambo nyeti kama hili?? Hawa Jamaa ni mapimbi mno
 
Alichoongelea Mbowe ni mkataba kuhusisha bandari zote Tanganyika, anachoongea kibajaji ni kuihusisha bandari ya Dar. Hapo unapima vipi? Ingekuwa bandari ya Tanga asingeleta swala la uzanzibari na utanganyika
A570F802-A65C-401F-8522-F5F821026DF1.jpeg

Watanzania ni rahisi sana kuwaongopea wapi hapo wameandika kuna uwekezaji wa bandari zingine.

Kwa Kiswahili kilichoandikwa hapo

1. Kuboresha gati 0 ambalo linachukua na kutoa magari kwa meli za kisasa. Pamoja na gati 1 mpaka 7 hapa washasema ni kuongeza crane za kisasa. Kila gati inahitaji kama tatu kwa maneno ya mkurugenzi wa Dar port.

2. Kuboresha sehemu ya abiria na sehemu ya meli za upepo hapo hapo Dar

3 kuboresha sehemu ya kuingizia mizigo kurasini.

4. Kuboresha sehemu ya kupokea mizigo ya magari na general cargo Dar. Kujenga parking na economic zone.

5. Kuboresha mifumo ya ICT mteja aone mzigo bandarini toka unatoka melini, mpaka unapofika dry port; sasa ukichelewa ujue ni TRA sio wao.

6. Kuboresha ufanyaji kazi uendane na dunia ya leo.

7. Kutoa mafunzo ili kuongeza ujuzi wa wafanyakazi ya bandari.

Hayo ndio mambo ya msingi kwanza.

Phase 2 bado hakuna uwekezaji maalum bandari itaamua wapi waende sio wao, huko sasa ndio kuna mambo ya bandari ya maziwa na mengine. Bandari ndio itaamua kuwapa hizo kazi wakiona kuna umuhimu.

Shida yenu ata mkiwekea facts, mpo tayari kuburuzwa na uongo kama nyie amuoni. Eti bandari zote zimeuzwa umeyatoa wapi hayo, kakwambia Mbowe na wewe unaamini.
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.

Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.

Mungu Ibariki CHADEMA.
Nasimama na Mbowe.
 
Lusinde hajielewi, hata anachokitetea hakina ushirikiano na anachokiongea.
Aliyemtuma hana akili sawasawa na Lusinde mwenyewe
 
Ukakasi kwenye tamko la mbowe,ni kusema na kutaka kuhuaminisha umma kwamba uzenj wa makame na Samia ndio umeiuza bandsri!!
Ukweli ni kwamba bila kujali asili ya MTU,ccm hawajawaji kuwa wema kwa nchi hii,skandali za Richmond,escrow,meremeta,,na wizi wa maghu,wote huo ulifanywa na watu wenye asili ya "utanganyika"
Tusianze kuaminishana kwamba,Mali ya Tanganyika akiiba mtanganyika ni poa,inanibidi Mimi mtanganyika nione sawa hata kama naumia kwa vile TU kaiba mtanganyika,ila Mali ya Tanganyika ikiibiwa na mzenj,hapo ndio utaona watanganyika wanakuja juu!!
Tuache unafiki,Samia,makame,na ccm wote ni wezi,na balaa kwa ustawi wa nchi hii,na hii sio kwasbabu ya uzenj wao,
Yqlikuwepo majizi mengine,mkapa aliuza mashirika yote kwa Bei poa,mke wa mwinyi alikuwa mwizi wa dhahabu,kikwete ndio aliingia mikataba ya hovyo ya gesi na madini.
Mbowe asishambulie watu kwa utaifa wao,wezi ni wezi TU,wapo serikalini,hata upinzani,
Hivi pesa zako akitumia vibaya mtoto wako, au likitumia lijitu tu, ni sawa?
 
Back
Top Bottom