Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts".

Majihadist hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
 
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"

Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Mafaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Yaani Afrika!
 
20241110_144637.jpg
 
Ndugu zanguni Watanzania hali ya usalama huko Sahel ni mbaya sana Magaidi yanazunguka mchana kweupe na kuua wale wasioamini Idiolojia yao ni wakati sasa Serikali zetu za East Central na Southern Afrika zitume Jeshi kwenda kusaidia na kuzuia "Domino effect".
 
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"

Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Makundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na Uingereza
 
Ndugu zanguni Watanzania hali ya usalama huko Sahel ni mbaya sana Magaidi yanazunguka mchana kweupe na kuua wale wasioamini Idiolojia yao ni wakati sasa Serikali zetu za East Central na Southern Afrika zitume Jeshi kwenda kusaidia na kuzuia "Domino effect".
Hayo makundi yanaasisiwa na wale wazungu ambao kila siku unawahusudu. waacheni waendelee na kazi zao.
 
Wafaransa na washirika wao ni washenzi na ndio chanzo cha instability Kwa kiasi kikubwa Africa ,we angalia tu nchi za kifaransa ,hawa washenzi ni nuksi ,na Mrusi kafanya kazi nzuri kuwafurusha hawa washenzi huko Bikinafasso ,Niger ,Mali , ugaidi hausikiki tena huko ,
Kwanini ninyi wapumbavu hamkai na kujiuliza hili swali , ugaidi umebaki chad ,ngome ya mfaransa na Nigeria ngome ya mmarekani na mwingereza na interests zao humo .
Mfaransa na influence yake Congo DRC ,vita haiishi huko ,natamani wanaume Wagner watie kambi Congo
 
Kuna maswali huwa najiuliza:
  • hivi hawa watu huwa na ndugu/jamaa
  • hivi nchi ikiamua kuwa serious kabisa kutokomeza ugaidi inashindwa?
Tanzania na Kenya tumeweza kudhibiti Radicalism na Kenya inastahili pongezi kubwa sana kwa kupambana na Ugaidi haswa huko Mombasa Lamu na Malindi pamoja na kuwadhibiti Magaidi wa Alshababu kutoka Somalia.
 
Back
Top Bottom