Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"

Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Dini gani hili kundi?
 
Wafaransa na washirika wao ni washenzi na ndio chanzo cha instability Kwa kiasi kikubwa Africa ,we angalia tu nchi za kifaransa ,hawa washenzi ni nuksi ,na Mrusi kafanya kazi nzuri kuwafurusha hawa washenzi huko Bikinafasso ,Niger ,Mali , ugaidi hausikiki tena huko ,
Kwanini ninyi wapumbavu hamkai na kujiuliza hili swali , ugaidi umebaki chad ,ngome ya mfaransa na Nigeria ngome ya mmarekani na mwingereza na interests zao humo .
Mfaransa na influence yake Congo DRC ,vita haiishi huko ,natamani wanaume Wagner watie kambi Congo

Umefanya vizuri sana kutaja hilo. Wagner ni wageni. Hawawezi kuwa msaada endelevu. Nao wana masilahi yao. Mtu wa kwanza kumnyooshea kidole ni AU. Sijui hawa jamaa wakikutana kule Ethiopia huwa wanaongeaga nini? AU ni jukumu lao kuhakikisha amani Afrika.
 
Back
Top Bottom