Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Makundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na Uingereza
Huo ndio ujinga wenu sasa kwanini wawanzishie kwenye Imani yenu then mnatekeleza! Imani ya ovyo kabisa hii inatokana inavurugu kwenye kitabu na ilivyo anzishwa basi inakuwa rahisi kama kweli ni project.
 
Huo ndio ujinga wenu sasa kwanini wawanzishie kwenye Imani yenu then mnatekeleza! Imani ya ovyo kabisa hii inatokana inavurugu kwenye kitabu na ilivyo anzishwa basi inakuwa rahisi kama kweli ni project.
Wewe ndio mjinga sasa kwani hakuna makundi ya kigaidi ya sio kua waislam
 
Kuna maswali huwa najiuliza:
  • hivi hawa watu huwa na ndugu/jamaa
  • hivi nchi ikiamua kuwa serious kabisa kutokomeza ugaidi inashindwa?
Dot ya kwanza, jibu lake: ndugu wanao.

Dot ya pili, jibu lake: nchi ikiamua inaweza.

Inatakiwa vyombo vya usalama vijichunguze vyenyewe kwanza kubaini wahusika wanaounga mkono maadui.

Maana vikundi hivyo hupachika mamluki wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ili kupata future intetion ya kila siku ya Serikali kuvihusu

Jambo la pili muhimu ni namna ya uendeshaji wa operesheni hiyo.

Katika uendeshaji wa operesheni, mkitaka kuwashinda hao magaidi ni kuiendesha operesheni bila kufuata haki za kibinadamu wala sheria yoyote, ndiyo mtawaweza.

Mkiingiza siasa na haki za binadamu hamuwezi kuwashinda miaka itasonga.

Ref to: Operesheni magaidi ya Kibiti Tz na viroba.
 
Niambie ni kundi lipi na hata likitokea wakristo wote wanakuwa against ila Imani yenu huwa mnatetea hata kama MTU kajitoa manga!
Imani ipi mimi mmoja kati ya wengi ambao napingana na ugaidi ntakutajia moja la anti balaka magaidi wa Ki kristo hawa wengine nenda kagugo mwenyewe
 
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"

Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Safari hii ni magaid ya kikristo watupu
 
Unataka kusema hata wale wa Kibiti serikali kufanikiwa kuwasimamisha kuliwezekana kwa sababu uliowataja hapo juu walikuwa against nao?
Hao wa kibiti walikua vibaka tu waloshika mitutu unadhani mataifa yote wanaoshindwa kuwazuia magaidi mmewazidi nini huko Tanzania mpaka nyie mukaweza halafu wao washindwe kuwazuia
 
Lukarawa wanasema wanataka kuwa kama Hamas kuuwa Wakristo na Waigbo wa Nigeria.
Wakristo wangapi Hamas imewachinja ?

Makanisa mangapi IDF imeyavunjilia mbali ?
 
Back
Top Bottom