Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"

Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Trump akishaapishwa ataanza na hao
 
lDot ya kwanza, jibu lake: ndugu wanao.
Dot ya pili, jibu lake: nchi ikiamua inaweza.
Inatakiwa vyombo vya usalama vijichunguze vyenyewe kwanzpa kubaini wahusika wanaounga mkono maadui.
Maana vikundi hivyo hupachika mamluki wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vya Serikali.

Jambo la pili muhimu ni namna ya uendeshaji wa operesheni hiyo.

Katika uendeshaji wa operesheni, mkitaka kuwashinda hao magaidi ni kuiendesha operesheni bila kufuata haki za kibinadamu wala sheria yoyote, ndiyo mtawaweza.

Mkiingiza siasa na haki za binadamu hamuwezi kuwashinda miaka itasonga.

Ref to: Operesheni magaidi ya Kibiti Tz na viroba.
Sasa watu wanaua raia bila sababu au ķwa sababu za kipumbavu haki zq binaadamu za nini jamani! Hapo ndio sielewagi kwakweli!

Sasa kama wana ndugu je ikifika zamu ya kuwaua inakuaje
 
Wakristo na Wayahudi wako Bize kugundua AI lakini hawa Radical Islamist wao ni kugundua vikundi vya Kigaidi na kufanya mauaji.
 
M
Makundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na Uingereza
Mnawasingizia Bure hao marekani, ninyi mnafanya nini?? Yaan USA na hao wakristo wamewashika akili kiasi gani mpaka kila jambo baya watakalo mnalifanya?

Shida kubwa ni hiyo dini ya kipuuzi ya uislam ambayo ndio TOOL nambari moja ya kuwatumia vijana masikini kuwaaminisha kuwa kuwaua wasioamini hiyo imani watapata thawabu sijui vitu gani huko kwa Allah,

Uislam ni njia mojawapo ya kumtawala mjinga afuate matakwa ya bwana wake kwa kuaminishwa vitu nje ya uhalisia.

Dini zote ni tatizo hapa dunian lkn uislam unaongoza kwa maovu, na iaminike kuwa wamiliki wa hivyo vikundi huenda na hata si waislam na hawana habari na huo uislam bali wako kimaslahi, lkn hizo kondoo(magaidi) zinaaminishwa upuuzi kupitia uislam maana ndio njia ambayo inaweza kuwaaminisha kuharibu mali za wengine ni halali, kutoa maisha ya wengine ni halali, kumbe deep down wanatekeleza maagizo ya wakubwa wao na si huyo Allah ambaye kaundwa na waanzilishi wa dini.

Magaidi nambari moja ni hao viongozi wa kidini wanaoshindwa kuziaminisha kondoo zao(wafuasi) ukweli ni upi na kudumisha upendo baina yao na wasiofuata imani zao.

Magaidi nambari 2 ni wanasiasa&viongozi wanaonunulika na kusahau majukumu yao, inashangaza sana nchi yenye jeshi, rasilimali na pesa inashindwa kukomesha upuuzi wa wapumbavu wachache wasio na uwezo wowote kielimu na hata kivita zaidi ya kumiliki Chuki& roho mbaya walizopandikizwa kuhusu imani.

Magaidi wa 3 ni hao mabwana zenu mnaopokea misaada yao na hao wanaowafadhili kwa namna yoyote ile.

Tunasema kila siku, dini ililetwa kumtawala mtu na kumuaminisha uongo, imagine dini zisingekuwepo, hao wahuni wangepata wapi wafuasi&majambazi wa kuwaaminisha kuwa kumtoa uhai asiye wa upande wako ni vizuri?

Dini zisingekuwepo hao wahuni na wezi wa rasilimali wangetumia njia ipo kuwagombanisha raia na serikali zao?

Dini zisingekuwepo hao wahuni&wafadhiri&wezi wa rasilimali wangetumia mbinu gani kuwagawa waafrika kiitikadi? Maana hakuna njia nyingine ukitoa ukabila ambayo inaweza kuwagawa watu na kuchukiana nje ya Dini.

Dini ni ushetani ulioundwa kuharibu fikra za watu kwa maslahi ya wachumia tumbo&wanasiasa, dini haitomuokoa yeyote msilumbane na kuchukiana kisa dini za uzushi.

Shameful on Africans
 
Mkuu wa Majeshi ya Nigeria ameapa kuyasafisha Magaidi yote Nchini humo.
 
Back
Top Bottom