Yaani Afrika!Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"
Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Mafaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
Makundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na UingerezaLukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"
Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
Kuna mchanganyiko wa Makabila kuna Kanuri Hausa Fulani Chadians nk.hayo magaidi yanatoka kabila la fulani..moja ya makabila katili west africa predominantly Muslims. na ni radicals wajingawajinga. wahabism ndio source ya radicalism in islam. dhehebu la kipuuzi kabisa
Hayo makundi yanaasisiwa na wale wazungu ambao kila siku unawahusudu. waacheni waendelee na kazi zao.Ndugu zanguni Watanzania hali ya usalama huko Sahel ni mbaya sana Magaidi yanazunguka mchana kweupe na kuua wale wasioamini Idiolojia yao ni wakati sasa Serikali zetu za East Central na Southern Afrika zitume Jeshi kwenda kusaidia na kuzuia "Domino effect".
Tanzania na Kenya tumeweza kudhibiti Radicalism na Kenya inastahili pongezi kubwa sana kwa kupambana na Ugaidi haswa huko Mombasa Lamu na Malindi pamoja na kuwadhibiti Magaidi wa Alshababu kutoka Somalia.Kuna maswali huwa najiuliza:
- hivi hawa watu huwa na ndugu/jamaa
- hivi nchi ikiamua kuwa serious kabisa kutokomeza ugaidi inashindwa?