Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Bonge la ujumbe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ugaidi kuumaliza huwa inachukua muda na inatakiwa Nchi Majirani kushirikiana Intelligence na Movement za Magaidi.

Ni kazi ya pamoja.
Huo ugaidi wa huko Nigeria unasukumwa zaidi na Ideiolojia kali za kidini zinazoenea kwa haraka kwenye jamii zenye hali ngumu ya kiuchumi na zilizosahaulika.

Huwezi kuumaliza ugaidi kutumia mabavu pekee
 
Huo ugaidi wa huko Nigeria unasukumwa zaidi na Ideiolojia kali za kidini zinazoenea kwa haraka kwenye jamii zenye hali ngumu ya kiuchumi na zilizosahaulika.
Kuna ukakasi kidogo hapo, unajua tokea Nigeria ipate Uhuru Jamii za Kaskazini ndio zilikuwa zikiongoza Taifa hilo kwa muda mrefu na uporoji mkubwa uliokuwa ukifanyika ni jamii hizo ndio zilizokuwa zikifaidika.
Kwahiyo unaposema "Jamii zilizohaulika" sijui haswa unamaana gani?.
 
Mambo haya uislamu uko mbali nayo ukichunguza hao wapuuzi hata kusoma herufi hawajui.
 
Kuna kipindi rais wa Nigeria Buhara alitenga kila kitu jeshi walichokihitaji na bado wakashindwa.

Akaliuliza jeshi kwa sasa mnahitaji nini maana kila kitu mlichohitaji nimewapa! Kumbe wakuu wa majeshi wanatafuna asilimia kadhaa za hela halafu asilimia inayobako ndiyo wanaingiza jeshini

Msumbiji hapo Wagner walienda kupambana na magaidi ya huko ila baadaye wakaondoka. Walichogundua ni kwamba kuna viongozi serikalini wanashirikiana na hilo kundi la kigaidi.

Hivyo huwezi kuitumikia serikali hiyo hiyo ambayo huku inasema inapambana na magaidi na huku inashirikiana na magaidi.

Ukanda wa Niger inafahamika wafaransa ndiyo wanafadhili magaidi ya huko.
 
Data humu zilishawekwa za kutosha kuhusu hayo makundi ya kigaidi ya nchi za kiafrika mengi yanafadhiliwa na nani!

Na hata Niger baada ya kufanyika mapinduzi na France kuambiwa kutoa majeshi yake inafahamika walienda kufadhili makabila mengine na kuwapa silaha ili kupambana na utawala wa kijeshi ambao haukubaliani na janja janja za mfaransa.

Wewe unapindua makusudi na kupitisha agenda zako za kidini ili kuchonganisha watu humu kupandikiza chuki kwa watanzania.

Na kubwa zaidi wewe unafahamika humu siyo mtanzania, bali ni mtutsi wa Rwanda. Hupendi kuiona Tanzania ikiwa na amani unataka wachinjane kama nchi yenu huko Rwanda.
 
Uislam unaenda kwa hoja ukitaka uufate ukitaka uachane nao
Huyo jamaa ni Mrwanda, ni mtutsi!

Lengo lake ni kuchochea chuki za kidini ili watanzania wachukiane. Sijui anataka watu wachinjane kama kwao Rwanda?

Anafanya hivi makusudi ili apandikize chuki kwa jamii ya watanzania humu Jf.
 
Na kubwa zaidi wewe unafahamika humu siyo mtanzania, bali ni mtutsi wa Rwanda. Hupendi kuiona Tanzania ikiwa na amani unataka wachinjane kama nchi yenu huko Rwanda.
Mbona mnachukia sana Watutsi na Wayahudi wakati Jamii zote hizo zimepitia kwenye Genocide?!
 
Huyo jamaa ni Mrwanda, ni mtutsi!

Lengo lake ni kuchochea chuki za kidini ili watanzania wachukiane. Sijui anataka watu wachinjane kama kwao Rwanda?

Anafanya hivi makusudi ili apandikize chuki kwa jamii ya watanzania humu Jf.
Kashafeli sababu watanzania hawapo hivyo nimeishi sana dar na wakristo ndio walikua jirani zetu wakubwa wakileta kuku wachinjwe na mzee kipindi hicho mie mdogo wao wanajua kama kuchinja kwao kazi achana na huyo mhutu
 
Mbona mnachukia sana Watutsi na Wayahudi wakati Jamii zote hizo zimepitia kwenye Genocide?!
Usiwaingize wayahudi humu wewe mtutsi!

Tunafahamu lengo lako humu wala usitufanye sisi wajinga!

Mambo yenu ya kueneza chuki na kuuana peleka kwenu Rwanda!
 
Punguzeni Povu ili mjadala uwe mtamu.
 
Kashafeli sababu watanzania hawapo hivyo nimeishi sana dar na wakristo ndio walikua jirani zetu wakubwa wakileta kuku wachinjwe na mzee kipindi hicho mie mdogo wao wanajua kama kuchinja kwao kazi achana na huyo mhutu
Humu Jf anajifanya kujificha kwenye kichaka cha Ukristo ili kuwasemea mbaya waislamu, lakini hilo si lengo lake, lengo lake ni kueneza chuki kwa jamiiya watanzania wa JF.

Salamu zikufikie wewe mnyarwanda mtutsi imhotep umeshafeli pakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…