Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"
Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
Hawa LAKARAWA wana itikadi ya dini?