Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Baada ya Marekani kuiwekewa vikwazo sekta ya utengenezaji wa chips ya China, China nayo imelipiza kisasi kwa kuwekea udhibiti wa mauzo ya nje(export) kwenye madini ya gallium na germanium, hizo ni metal mbili muhimu zinazohitajika katika utengenezaji wa chips.
China inachangia 98% ya uzalishaji wa gallium kimataifa na mwaka 2022 iliongoza duniani kwa uzalishaji wa madini ya hayo
Kinachofanya hali kuwa mbaya zaidi kwa Marekani ni kwamba mwaka 2021, Marekani iliagiza zaidi ya 50% ya gallium na germanium kutoka china.
Marekani kwa mwaka inazalisha kg 3000 tu madini hayo tena kwa kufanya recycling, wakati huo kwa upande wa china yenyewe inazalisha kg 430,000 kwa mwaka hivyo inamfanya Marekani kuwa tegemezi na mtumwa kwenye bidhaa hizo muhimu katika Dunia ya leo ya teknolojia .
Gallium thamani yake ni $527.80 kwa kg