Kikwazo ambacho Marekani aliyomuekea Uchina kimemrudia mwenyewe

Kumuwekea Marekani kikwazo ni kama vile kukalia tawi la mti alafu unalikata mchina hana uwezo wa teknologia aliokuwa nayo Marekani huo ndio ukweli tuache kujidanganya
 
Teknolojia ya utengenezaji wa semiconductors ni advance china ipo katika maboresho ya kitafiti kuhusu utengenezaji wa most advanced semiconductors hivyo haija kwama
 
Kumuwekea Marekani kikwazo ni kama vile kukalia tawi la mti alafu unalikata mchina hana uwezo wa teknologia aliokuwa nayo Marekani huo ndio ukweli tuache kujidanganya
Marekani anaihitaji china kwenye biashara kuliko unavyofikiria kama china ingekuwa si chochote kwenye ukuaji wa uchumi wa Marekani , tayari ingekatiwa uhusiano muda mrefu
 
Wajinga huwa wanaamini kwamba marekani is the source of every high tech. Ukiwaambia kuhusu China wanadhani ndio source of every fake products. Elimu ya kukaririshwa.
 
Kumuwekea Marekani kikwazo ni kama vile kukalia tawi la mti alafu unalikata mchina hana uwezo wa teknologia aliokuwa nayo Marekani huo ndio ukweli tuache kujidanganya
Tusiwe na mindset ya everything is impossible hakuna kisichowezekana, vyombo vya habari vikubwa bbc, cnn, pamoja na intelligence za Marekani wameonya kwamba China imeanza kuwazidi technology mpya Marekani, katika karne ya 21Mchina ameonesha uwezo mkubwa kuliko marekani kitechnolojia ........
Stop saying SOMEONE IS NOT CAPABLE .. bora useme ni vigumu marekani kupitwa na china technology it could take years
 
Kwenye teknolojia nyingi and high intelligence system bado China wanatumia za Ulaya na USA teknoloji...tena ukiwatembelea kwenye viwanda vyao wanaproud of that.
Utasikia wanakwambia this is UK technology.
 
punguza upunguani itakusaidia mmeshazoea kupewa vya bure bure ndio maana mnaona marekani ndio kila kitu hapa chini ya jua
Hivi wewe unaelewa Marekani ni nini na ni nani??punguani utakuwa wewe inatumia kila kitu cha Marekani , dawa za ukimwi, simu na internet na magari, ndege hata viatu na nguo uliyovaa alafu unaleta ujuaji wa kijinga unaandika upumbavu umeshawahi fika Marekani wewe??Mchina hana kitu kuwaleteeni substandard products Tanzania ndio umeona ana uwezo anaiba ujuzi wa makampuni ya Marekani kila siku alafu unaleta ujinga kuwa Mchina atamzidi Marekani lini karne ipi??
 
Sizungumzii mind set i really know what the USA is capable of and what they are contributing to the development of mankind in technology, democracy and security so that some deranged idiots don’t blow’s us all in the name of what what ever bull..,,
 
Marekani anaihitaji china kwenye biashara kuliko unavyofikiria kama china ingekuwa si chochote kwenye ukuaji wa uchumi wa Marekani , tayari ingekatiwa uhusiano muda mrefu
Tumia bando yako mtandaoni kujielimisha na sio kusambaza ujinga
 
Sawa,
A senior Treasury Department official told reporters Sunday that the United States wants a healthy economic relationship with China and that fully halting trade and investment "would be destabilizing for both our countries and the global economy."
 
That’s politics do you understand what it meant??
 
Binafsi,Sina uhakika na Hilo.
US ana import high purity Gallium toka France na low purity toka Kazakhstan na Russia.
China anatoa 60% ya germanium Kwa dunia, lkn Bado Canada,Finland ,Russia na US zinatoka pia .
 
That’s politics do you understand what it meant??
Kwahiyo tukuamini wewe sasa,ila huyo Tresury secretary wa US ambaye sasa yuko China kujaribu kuweka mambo sawa,ni muongo!

Janet Yellen warns US decoupling from China would be ‘disastrous’​

Treasury secretary calls for ‘constructive and fair’ economic relationship as Washington moves to repair frayed ties
US Treasury secretary Janet Yellen has warned any effort to decouple from China would be “disastrous”, saying national security measures targeted at Beijing were not designed to “stifle” the Chinese economy.In a major speech on Thursday, Yellen called for a “constructive and fair” economic relationship between China and the US, as Washington seeks to repair badly fraying relations between the two economic powers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…