Kikwazo ambacho Marekani aliyomuekea Uchina kimemrudia mwenyewe

Hivi umeelewa kilichoandikwa??
 

“Physics” bro tafuta meaning na technology za kutengeneza chip
 
South Korea hawezi mvimbia USA.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Ila kwa technology ya chip. Mchina anahitaji miaka kama 10 hivi kumfikia USA na washirika wake kina TAIWANI, S. KOREA NA JAPAN
 
Wapuuzi sana hawa hawajifinzi kitu!!! Wanafikiri they own this World ie wanaweza kufanya lolote Duniani bila ya mataifa husika ku-revert to massive retribution ya yaku-teach a lesson the USA - labda waendelee ku- recycle hizo metals bila hivyo watakwama na kumuomba Xi yaishe.
 
Watachukua South Korea obviously
 
Kumuwekea Marekani kikwazo ni kama vile kukalia tawi la mti alafu unalikata mchina hana uwezo wa teknologia aliokuwa nayo Marekani huo ndio ukweli tuache kujidanganya
Kuamini hivyo kwa dunia ya sasa ni ushamba na ulimbukeni! Hakuna lisilowezekana chini ya dunia! Kama wewe huwezi wenzio wanaweza!
 
ishiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ni mavi mavi sasa kwani hizo simu internet .....dawa za ukimwi ...magari ....ndege na blaah blaaah blahhh zingine kwani hao marekani wnanipa bure si ninafanya kazi napata pesa alafu nanunua hizo uchafu ulizosema
buda chini ya jua hakunaga vitu vya bure bure ukiona umepewa dawa za ukimwi au net za mbu za bure kenge wewe ujue chini ya karpet wamesha chukua vya kwako mara mbili ya msaada wa ukimwi au net jinga kabisa uliopewa hakunaga tajiri anaefanya vitu vya hasara mzee ..
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
 
alafu unavyoinanga CHINA utafkir marekni hakuna product za mchina...[emoji41][emoji41]
 
Masikini!!!!
 
Mkuu it won't take many years as you think,mchina atampita mmarekani ndani ya muda mfupi sana. Kuna kitu labda mmarekani anazalisha ambacho mchina hazalishi as per now? American supremacy is fading away as China is blooming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…