Pre GE2025 Kikwete: 2025 hakuna wa kuchukua fomu ya Urais ya kumpinga Samia Suluhu Hassan labda mambo yaharibike sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi ni coincidence tu,tuachane na ramli chonganishi.
FB_IMG_1687965460658.jpg
 
Kwenye mkutano mkuu wa CCM, raisi Kikwete alisema hamuoni mgombea yeyote maarufu ndani ya CCM wa kumzidi Samia. Na akatanabisha kuwa Samia ndo mgombea wa uraisi CCM 2025, labda itokee mambo yaharibike hapa katikati.

Kwa upande wangu naona mambo yashaharibika tayari.

Huyu JK alimaanisha nini?

Karibu
 
Amewasilisha maoni yake kidiplomasia kuwa hapo hakuna mwendelezo
 
Kwenye mkutano mkuu wa CCM, raisi Kikwete alisema hamuoni mgombea yeyote maarufu ndani ya CCM wa kumzidi Samia. Na akatanabisha kuwa Samia ndo mgombea wa uraisi CCM 2025, labda itokee mambo yaharibike hapa katikati.

Kwa upande wangu naona mambo yashaharibika tayari.

Huyu JK alimaanisha nini?

Karibu
Alimaanisha, watamvuruga sana hadi akose sifa.
Cc dpw
 
Kwenye mkutano mkuu wa CCM, raisi Kikwete alisema hamuoni mgombea yeyote maarufu ndani ya CCM wa kumzidi Samia. Na akatanabisha kuwa Samia ndo mgombea wa uraisi CCM 2025, labda itokee mambo yaharibike hapa katikati.

Kwa upande wangu naona mambo yashaharibika tayari.

Huyu JK alimaanisha nini?

Karibu

Yeye ndiye mwenye kuongoza nchi, samia ni kama ni kivuli tu. Sasa kwa sababu anajua kilichopo ndani ya ccm, ndiyo maana kasema hivyo.

Wanachi wataamua ni nani wanayemtaka, mwache tu huyo mzeeaongee
 
Hakuna mwenye uhakika 100% kuwa mambo yatakuwa kama yalivyo au anavyotarajia katika muda wowote ujao. Hii ni pamoja na uhai wetu.
Hata hivyo, tunatakiwa tuamini katika upande chanya zaidi.
 
Kwenye mkutano mkuu wa CCM, raisi Kikwete alisema hamuoni mgombea yeyote maarufu ndani ya CCM wa kumzidi Samia. Na akatanabisha kuwa Samia ndo mgombea wa uraisi CCM 2025, labda itokee mambo yaharibike hapa katikati.

Kwa upande wangu naona mambo yashaharibika tayari.

Huyu JK alimaanisha nini?

Karibu

Nionavyo mimi alimaanisha kwamba wao ccm ukiwa Raisi ni lazima utaharibu tuu either kwa kuiba ama kudhulumu mali za wananchi! Hata hivyo wananchi hua hawapigi kelele sana na mambo huisha na ukaendelea tuu ! Mifano michache: Kagoda, meremeta, Richmond, dowans, 1.5trilion etc ! Sasa ukizidisha hapo kam kuuza mali za nchi kubwa kwa 100ml$ na kugawana na kakundi kadogo mambo lazima yaharibike, maana wenye nchi japo ni wavumilivu sana unakua umecross torelable red line.
 
Yeye ndiye mwenye kuongoza nchi, samia ni kama ni kivuli tu. Sasa kwa sababu anajua kilichopo ndani ya ccm, ndiyo maana kasema hivyo.

Wanachi wataamua ni nani wanayemtaka, mwache tu huyo mzeeaongee
Jamani
 
Back
Top Bottom