Pre GE2025 Kikwete: 2025 hakuna wa kuchukua fomu ya Urais ya kumpinga Samia Suluhu Hassan labda mambo yaharibike sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025 hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa karibu kuwa hatagombea kiti cha uraisi kwani anasema kwamba kama nikutumikia nchi ametumikia vya kutosha anahitaji apumzike.

Chawa wa ccm ambao wamezoea kulamba asali hawataki mama apumzike kutwa nzima ni kusema mama hadi 2030 kitu ambacho hataki kukisikia pamoja na yote Mama amepima upepo kwa sasa waliomzunguka ni watu hatari walafi wa madaraka na mafisadi na hapendi kuleta uhasama nao yeye ameona astaafu kwa heshima wengine waongoze chombo hiki ambacho kinayumbayumba wakati huu.

Kwa sasa uchumi umesinyaa na tunapoelekea huenda hata mishahara ya wafanyakazi baadhi ya taasisi hawatapata mishahara yao kwa wakati na hili linasema na watu wa juu kabisa ndani ya serikali, watu wanasema kuongoza nchi siyo lelemama inahitaji roho ngumu na jasiri kuamua baadhi ya mambo.

Shukrani sana kwa mama Samia kuliona hilo maana hao watu wanamtesa katika uongozi wake , si kwamba anashindwa kupambana nao bali ameona mbali kwa kuwa yeye ni hataki makuu na wale wanaojiita wenye nchi. mama ana vyombo vyote vya dola lakini ameona isiwe tabu 2025 astaafu aanze kuwa mtazamaji.
Hii kauli alitoa lini tena??
 
Maharage kilo moja TZS 4000, tano tena kwa mama.
 
Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025
Huyu mzee asitupangie maisha
 
Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025 hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa karibu kuwa hatagombea kiti cha uraisi kwani anasema kwamba kama nikutumikia nchi ametumikia vya kutosha anahitaji apumzike.

Chawa wa ccm ambao wamezoea kulamba asali hawataki mama apumzike kutwa nzima ni kusema mama hadi 2030 kitu ambacho hataki kukisikia pamoja na yote Mama amepima upepo kwa sasa waliomzunguka ni watu hatari walafi wa madaraka na mafisadi na hapendi kuleta uhasama nao yeye ameona astaafu kwa heshima wengine waongoze chombo hiki ambacho kinayumbayumba wakati huu.

Kwa sasa uchumi umesinyaa na tunapoelekea huenda hata mishahara ya wafanyakazi baadhi ya taasisi hawatapata mishahara yao kwa wakati na hili linasema na watu wa juu kabisa ndani ya serikali, watu wanasema kuongoza nchi siyo lelemama inahitaji roho ngumu na jasiri kuamua baadhi ya mambo.

Shukrani sana kwa mama Samia kuliona hilo maana hao watu wanamtesa katika uongozi wake , si kwamba anashindwa kupambana nao bali ameona mbali kwa kuwa yeye ni hataki makuu na wale wanaojiita wenye nchi. mama ana vyombo vyote vya dola lakini ameona isiwe tabu 2025 astaafu aanze kuwa mtazamaji.
Mwambie akae zake huko Msoga
 
mama anataka apumzike walamba asali mwacheni mama apumzike amechoka mikikimikiki ya hapa na pale
 
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea hata sisi watu wa hali ya chini sana tunaona kuna mapungufu makubwa ya kiuongozi nadhani ingawa huyo mama apumzike tu.

Natamani hayo ya kuharibika sana yaharibike ili iwe hivyo.

Hakukuwa na maandalizi na mipango wala marejea yoyote kwenye uongozi wa awamu hiii , na vile walivyo kataa kwenda na mipango ya hayati Magufuli ikiwa wao hawana mpango wowote, hapo ndipo walipo feli , na watakavyo achia madaraka wataiacha nchi kwenye hali ambayo ni neema ya Mungu tu ndio itakayo tunusuru.
Kikwete kwa sasa biashara zake za kufungua Sheli za mafuta ndio zimeshika kasi mama akiwa Raisi,sasa unadhani kikwete ataongea nn cha maana mbele ya macho ya watanzania wenye Akili timamu.
 
Imahitajika overhaul nzima kuikatilia mbali Ile cartel ndani ya CCM inayonyonya nchi.

Na hapo anahitajika rais mwenye sifa kama za jiwe ila Yuko smart ssna kuliko watu wa cartel.

Mwenye good approach sio kuumiza wananchi.

mZiLaNkeNdE alikuwa na guts but poor approach. No smart moves.
 
Naona mambo yanakwenda sana kwa kasi ya 5G kuelekea 2025.

Haya ni maneno ya rais msaafu mh JM Kikwete pale jijini Dodoma mbele ya wana ccm .

Amesema hamuoni kijana anayeweza kusimama na kuchukua form ya kugombea urais 2025 dhidi ya mama Samia.

Sasa naona wale sukuma gang tumeanza kuelewana kabisa kuwa mjipange hadi 2030.
 
Back
Top Bottom