SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
"2025 Rais ni Mwanababa" alisikika Godbless Lema akitamka mbele ya wananchi katika Viwanja vya Mbagala Zakhiem..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli alitoa lini tena??Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025 hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa karibu kuwa hatagombea kiti cha uraisi kwani anasema kwamba kama nikutumikia nchi ametumikia vya kutosha anahitaji apumzike.
Chawa wa ccm ambao wamezoea kulamba asali hawataki mama apumzike kutwa nzima ni kusema mama hadi 2030 kitu ambacho hataki kukisikia pamoja na yote Mama amepima upepo kwa sasa waliomzunguka ni watu hatari walafi wa madaraka na mafisadi na hapendi kuleta uhasama nao yeye ameona astaafu kwa heshima wengine waongoze chombo hiki ambacho kinayumbayumba wakati huu.
Kwa sasa uchumi umesinyaa na tunapoelekea huenda hata mishahara ya wafanyakazi baadhi ya taasisi hawatapata mishahara yao kwa wakati na hili linasema na watu wa juu kabisa ndani ya serikali, watu wanasema kuongoza nchi siyo lelemama inahitaji roho ngumu na jasiri kuamua baadhi ya mambo.
Shukrani sana kwa mama Samia kuliona hilo maana hao watu wanamtesa katika uongozi wake , si kwamba anashindwa kupambana nao bali ameona mbali kwa kuwa yeye ni hataki makuu na wale wanaojiita wenye nchi. mama ana vyombo vyote vya dola lakini ameona isiwe tabu 2025 astaafu aanze kuwa mtazamaji.
Maharage kilo moja TZS 4000, tano tena kwa mama.Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025 hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa karibu kuwa hatagombea kiti cha uraisi kwani anasema kwamba kama nikutumikia nchi ametumikia vya kutosha anahitaji apumzike.
Chawa wa ccm ambao wamezoea kulamba asali hawataki mama apumzike kutwa nzima ni kusema mama hadi 2030 kitu ambacho hataki kukisikia pamoja na yote Mama amepima upepo kwa sasa waliomzunguka ni watu hatari walafi wa madaraka na mafisadi na hapendi kuleta uhasama nao yeye ameona astaafu kwa heshima wengine waongoze chombo hiki ambacho kinayumbayumba wakati huu.
Kwa sasa uchumi umesinyaa na tunapoelekea huenda hata mishahara ya wafanyakazi baadhi ya taasisi hawatapata mishahara yao kwa wakati na hili linasema na watu wa juu kabisa ndani ya serikali, watu wanasema kuongoza nchi siyo lelemama inahitaji roho ngumu na jasiri kuamua baadhi ya mambo.
Shukrani sana kwa mama Samia kuliona hilo maana hao watu wanamtesa katika uongozi wake , si kwamba anashindwa kupambana nao bali ameona mbali kwa kuwa yeye ni hataki makuu na wale wanaojiita wenye nchi. mama ana vyombo vyote vya dola lakini ameona isiwe tabu 2025 astaafu aanze kuwa mtazamaji.
Taja wewe kwanzaTake a breath for a second, umelipwa sh ngapi?
Huyu mzee asitupangie maishaKauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025
Mwambie akae zake huko MsogaKauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025 hata hivyo kauli hiyo aliitoa hadharani lakini ukweli ni kwamba mama mwenyewe kashawaambia baadhi ya watu wake wa karibu kuwa hatagombea kiti cha uraisi kwani anasema kwamba kama nikutumikia nchi ametumikia vya kutosha anahitaji apumzike.
Chawa wa ccm ambao wamezoea kulamba asali hawataki mama apumzike kutwa nzima ni kusema mama hadi 2030 kitu ambacho hataki kukisikia pamoja na yote Mama amepima upepo kwa sasa waliomzunguka ni watu hatari walafi wa madaraka na mafisadi na hapendi kuleta uhasama nao yeye ameona astaafu kwa heshima wengine waongoze chombo hiki ambacho kinayumbayumba wakati huu.
Kwa sasa uchumi umesinyaa na tunapoelekea huenda hata mishahara ya wafanyakazi baadhi ya taasisi hawatapata mishahara yao kwa wakati na hili linasema na watu wa juu kabisa ndani ya serikali, watu wanasema kuongoza nchi siyo lelemama inahitaji roho ngumu na jasiri kuamua baadhi ya mambo.
Shukrani sana kwa mama Samia kuliona hilo maana hao watu wanamtesa katika uongozi wake , si kwamba anashindwa kupambana nao bali ameona mbali kwa kuwa yeye ni hataki makuu na wale wanaojiita wenye nchi. mama ana vyombo vyote vya dola lakini ameona isiwe tabu 2025 astaafu aanze kuwa mtazamaji.
Kikwete kwa sasa biashara zake za kufungua Sheli za mafuta ndio zimeshika kasi mama akiwa Raisi,sasa unadhani kikwete ataongea nn cha maana mbele ya macho ya watanzania wenye Akili timamu.Kwa jinsi mambo yanavyoendelea hata sisi watu wa hali ya chini sana tunaona kuna mapungufu makubwa ya kiuongozi nadhani ingawa huyo mama apumzike tu.
Natamani hayo ya kuharibika sana yaharibike ili iwe hivyo.
Hakukuwa na maandalizi na mipango wala marejea yoyote kwenye uongozi wa awamu hiii , na vile walivyo kataa kwenda na mipango ya hayati Magufuli ikiwa wao hawana mpango wowote, hapo ndipo walipo feli , na watakavyo achia madaraka wataiacha nchi kwenye hali ambayo ni neema ya Mungu tu ndio itakayo tunusuru.
Mzee makamba anakwambia katiba tunatunga wenyewe, kwahiyo mama samia lazima apite tu iwe isiwe.Kwamba atalazimishwa atake asitake-Alisema mbunge mstaafu NKASI 😃😃😃
Ila pia aliandamana baada ya mahasimu kusema ni wa mpitoBt alikiri Atagombea baada ya kutegwa na gazeti la Uhuru.
Key wordLabda mambo yaharibike sana
Ha ha ha haLabda mambo yaharibike sana
Ha ha ha haaHa ha ha ha