Pre GE2025 Kikwete: 2025 hakuna wa kuchukua fomu ya Urais ya kumpinga Samia Suluhu Hassan labda mambo yaharibike sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
He Saw it coming..
 
Alimaanisha desturi na utamaduni wa ccm haubadiliki, lakini pia alionyesha wasiwasi wake juu ya uongozi wa mama kwasababu jk aligundua kuna wakati mama anafanya maamuzi kwa hasira kuliko busara.
Jk janjaboy sana yule mzee...🤣
 
Sawa na aondoke na hili zimwi na DPw
 
mambo yameshaharibika anataka mpaka yaharibike sana? Huyu mzee halitakii mema taifa letu.
 
Hapo kwenye labda mambo yaharibike nazani ndo sasa
 
Hakumaniisha chochote sababu hata katika BANDARI maslahi yake yapo Kama mstaafu itasaidia kulipa posho na Ulinzi wake hivyo mengine tuna2wza na kuwazua Kama binadamu Ila kikwete kwangu ni mzalendo kwa Ulinzi na usalama wa mipaka/biashara ndani na nje ya Nchi ila wengi hawalifahamu hilo🥂
 
 

Attachments

  • IMG_1445.MP4
    9.8 MB
  • 30947F0B-9D9F-44C3-A05D-F0A37D69D334.jpeg
    54 KB · Views: 3
Mama aendelee mpaka 2030. Hatutaki wahuni wahuni na washamba washamba wachukue nchi. Nitasononeka sana Mama Samia akiwaachia wahuni.
 
Alikwambia kuwa hagombei tena yeye mwenyewe binafsi,au umesikia maneno kwa watu,acha kutulisha matikiti pori hapa,Kwani ule mkutano alioufanya alikutana na wanawake wa Dar hapo kwenye ukumbi mmoja hapo city center umeishazisahau kauli alozozitoa kwa wanawake hao? Au umeishamsahau mhariri mmoja wa gazeti la chama tawala alijaribu kuupotosha umma kwa kuandikia kichwa Cha habari chenye kueleza kuwa ifikapo 2025 Samia hagombei tena,mhariri huyo aliishia kutumbuliwa,kwa taarifa Yako usimchukulie Samia kama ni mama tu aliyekikwaa hicho kiti kibahati bahati kwa hiyo hana shida nacho,Samia ni kiongozi mwana siasa mwenye ambitions za kuingiza kama wanasiasa wengine walivyo,usimchukulie powa, uchaguzi wa 2025 atakuwepo sana na mtaendelea kuteseka,kama vile ule usemi usio rasmi unavyosema "CCM hata ikisimamisha jiwe ligombee litapita" uchukulie maanani usemi huo.
 
Astaafu kwa heshima na mkataba huu wa DP World?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…