Kikwete alikuwa genius wa uchumi, Magufuli itabidi akajifunze kwake kama kweli ana nia ya kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye reli


Nimevutiwa na ID yako....Naantombe!
 
Sio sahihi tunajua reli ni muhimu,barabara zinapunguziwa kubeba mizigo mizito,lifespan ya barabara inaongezeka.
Freight charge inapunguwa kusafirisha kwa reli.
Uchumi wa nathalia sio uchumi halisi.
 
Sio sahihi tunajua reli ni muhimu,barabara zinapunguziwa kubeba mizigo mizito,lifespan ya barabara inaongezeka.
Freight charge inapunguwa kusafirisha kwa reli.
Uchumi wa nathalia sio uchumi halisi.
Unaongea as if Tanzania hatukuwahi kuwa na reli hapo kabla. Unadhani kama matumizi ya reli iliyokuwepo yalikuwa hafifu kwa sababu ya uduni wa shughuli za kiuchumi, hii ya sasa ya SGR unadhani itabadlisha kwa kiasi gani?

Anyway, hata hivo sijajikita sana kuponda uwekezaji kwenye miundo mbinu, kwanza nimesifia sana.

Hoja yangu ni kwamba, pamoja na uwekezaji wa matrilioni kwenye miundo mbinu, bado kuna viashiria vingi vya uchumi kudorora. Hapo ndo pa ku discuss mkuu
 
Hali ni tete kwa sekta binafsi toka Mzee baba kashika usukani, corona nayo imekuja serikali imegoma kuja na budge ya dharura. Najiuliza tu sekta ya utalii imezimia huku ikiwa mchangiaji mkubwa wa pato la serikali,makadirio ya mapato wame adjust vpi? Export ya mazao imekumbwa na anguko la bei,lazima kutakua na upungufu mkubwa wa mapato ya serikali.
 
Labda hupo nje ya nchi kwa muda mrefu.
Reli ya Dar Moshi hadi Arusha ilikufa,ni miaka zaidi ya 20 imefufuliwa na Mjomba Magufuli.
Reli ya kati ilikuwa mfu anaetembea,leo inafanya kazi imefufuliwa.
Dar tuna train za Makyembe inatusaidia sana.
GSR itakuwa ndio mpango wenyewe wa kukimbiza maendeleo.
 
Ongeza volume hapo mkuu...
Nje ya mada..!

Mleta hoja unaweza ukawa una point za maana sana ila jina lako linatia ukakasi kiasi kwamba linatatiza umakini wa kufikiria ulichoandika.
Huenda likawa na maana nzuri huko kwenu, ila kwenye kadamnasi ya waTz jina linakushushia heshima yako.

Yako majina mengi, badili hiyo ID...ni ushauri tu.
 
Magufuli angekuwa ana akili watu kama wewe ndyo wakuwapa nafasi katika serikali yake. Tatizo anaweka wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Na nawahakikishieni hao hao ndyo watakaombeza na kumkejeli atakapoondoka huku wakimfaagilia atakayemfata.
 
Kikwete kamaliza miaka kumi tukiitwa nchi maskini ,Magufuli miaka minne tumeingia uchumi wa kati,nani akajifunze kwa mwenzie?,you hopeless!
Wewe ni mjinga hujui unachoongea. Kikwete angeongezewa mwaka mmoja tungekuwa uchumi wa kati.angeongezewa mingine 5 tungekuwa tumewapiku wakenya mapema sana.
 
Baada ya mapitio ya siku 12 na kupata ushauri kutoka kwa wababe wa siasa uchumi, kilicho onekana ni kuwa bado tuna tatizo la kuweza kuendesha uchumi wa kibepari and the following is what was observed:

Capitalism is widely blamed for a range of social and economic woes. Both socialists and capitalists blame each other for the rise of crony capitalism. Socialists believe that crony capitalism is the inevitable result of pure capitalism. On the other hand, capitalists believe that crony capitalism arises from the need of socialist governments to control the economy.

In practice, this is the dominant form of capitalism worldwide due to the powerful incentives both faced by governments to extract resources by taxing, regulating, and fostering rent-seeking activity, and those faced by capitalist businesses to increase profits by obtaining subsidies, limiting competition, and erecting barriers to entry. In effect, these forces represent a kind of supply and demand for government intervention in the economy, which arises from the economic system itself.

I have apackage of the serious discussion which made our country to follow current discourse.
 
Magufuli amefanikiwa kwenye jambo moja tu ambalo watanzania wengi hawajagundua: propaganda. Ataumbuka sana mwishoni kwa hili na itabidi ajichimbie chato na kutoka usiku tu kama chimbilili.
Leo nimepanda kivuko cha busisi...ile sehemu ya abiria kusubir kivuko wameweka Tv. Tv inaonesha nyimbo za kumsifu magufuli pamoja na miradi aliofanya.

Kwa ujumla anakuwa overated sana. Hii miradi anayofanya hata majirani zetu wameifanya au wanaifanya pia hivi sasa ika hawajikwezi kama anavyojikweza huyu mwamba.
 
Sina uhakika kama uhuru alikwezwa na kuabudiwa sana huko Kenya kwa sababu ya SGR kiasi mpaka wanatamani aongoze maisha.
 
Mimi naamini kwenye long term investments zitakuwa zimefanyiwa input/output na cost/ benefit analysis kwenye feasibility study. Miradi km SGR ni muhimu kama tunataka uchumi wa kisasa na unaohimili ushindani kikandana dunia na wenye kuvutia wawekezaji lazima uwekeze kwenye vichocheo vya uchumi. Uchumi huishi katika mnyororo na mduara hutegemeana. Lets be patient for the benefits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…