Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
IMG-20220917-WA0024.jpg

Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
 
View attachment 2359954

Gordon Brown ana nafasi gani ya kulishawishi Bunge la Ulaya wakati yeye Brown ndio aliiongoza Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya?
 
Hilo bunge la ulaya linapiga mikwara mbuzi tu lakini sioni kama wana makali hayo.
 
View attachment 2359954
Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
Kwa raha zake mwenyewe Vasco da gama!
Huyu jamaa ht ukimchukia utakonda bure... yeye tabasam tu
 
Kuna kitu kinataka kuuzwa hapa.
Maana yeye ndiye mtawala kwa Sasa.
Kama hatutaletewa kampuni mpya ya kufua umeme!!!
Basi tusubiri tu
 
The best Diplomat ever
View attachment 2359954
Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
 
What are you talking about?! Kutetewa? Sisi ni mateka? Be serious, please!
 
View attachment 2359954
Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
Akutetee bomba la kwako au la jirani
 
Kikwete mzee wa mipango
Master, mwanadiplomasia nguli

Ova
 
Back
Top Bottom