Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

Daah,nikiri wazi Kuna utofauti mkubwa Sana kimuonekano kati ya JK na Gordon,kumbe Tanzania ni zaidi ya uingereza ukiwa na chenji🤪

Gordon Brown anaonekana maisha magumu mbele ya JK.
 
View attachment 2359954
Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
JK analamba asali
 
Hilo bunge la ulaya linapiga mikwara mbuzi tu lakini sioni kama wana makali hayo.
Sasa bunge la ulaya si ndio lina tokana na nchi za ulaya?wakikataa kutoa pesa za kuufadhiri na taasisi zote za fedha za kimataifa zikapewa maelekezo , kutotoa mikopo ?!itakuwa bado ni mikwala mbuzi?au tukimbilie china?ila hata ukienda huko wakikuamulia unaweza ukayasafirisha lakini ukakosa pa kuyauza!!
 
Hiyo jumuiya ilishaishiwa nguvu baada ya China kuibuka kama taifa lenye uchumi mkubwa. Kwa sasa hivi Ulaya na Marekani maagizo yao yanapuuzwa kutokana na uwepo wa China kama taifa tajiri. Usisahau Russia pia hafuati chochote kwa hao watu wa Ulaya magharibi, hivyo jumuiya hiyo kubaki kama Simba wa kuchora.
 
Kicheko Cha kamanda kiangalie Mara Mbili.
Ukiona nyusi na mdomo vinapishana. Sogea mbali
 
Daah,nikiri wazi Kuna utofauti mkubwa Sana kimuonekano kati ya JK na Gordon,kumbe Tanzania ni zaidi ya uingereza ukiwa na chenji🤪

Gordon Brown anaonekana maisha magumu mbele ya JK.

Hao wazungu wanaishi kwa mapato halali, huwezi kufananisha na viongozi wa kiafrika wenye utajiri mkubwa wa kificho kutokana na kupata pesa kinyume na utaratibu.
 
Hiyo jumuiya ilishaishiwa nguvu baada ya China kuibuka kama taifa lenye uchumi mkubwa. Kwa sasa hivi Ulaya na Marekani maagizo yao yanapuuzwa kutokana na uwepo wa China kama taifa tajiri. Usisahau Russia pia hafuati chochote kwa hao watu wa Ulaya magharibi, hivyo jumuiya hiyo kubaki kama Simba wa kuchora.
Unapoizungumzia EU, ndio NATO, yenyewe, unapozungumizia NATO, unamkuta mbabe USA!!Sasa taifa lenye uchumi mkubwa lakini bado USA, ndio anaongoza kwa uchumi, na ushawishi mkubwa duniani, kwani licha ya kuwa na uchumi mkubwa lakini ushawishi nao ni muhimu sana, Tatizo la china na RUSSIA, wao hawawezi kwenda sawa na EU, kutokana na sera zao za ukandamizaji wa demokrasia na haki za binadamu nchini mwao.Na hata kwa Africa hawana mchango mkubwa kimaendeleo kulinganisha na hao EU, na USA.Ukienda IMF, WB, wao ndipo walipo.
 
View attachment 2359954
Salaam Wakuu,

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
wastaafu hao ndugu yangu - hamna jipya.
 
Back
Top Bottom