figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Gordon Brown ana nafasi gani ya kulishawishi Bunge la Ulaya wakati yeye Brown ndio aliiongoza Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya?View attachment 2359954
Salaam Wakuu,
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
Kwa raha zake mwenyewe Vasco da gama!View attachment 2359954
Salaam Wakuu,
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga Marufuku lisijengwe?
View attachment 2359954

Kwanini asile jaya wewe ukipewa utakula acha gubu.Anaikula nchi
Akutetee bomba la kwako au la jiraniView attachment 2359954