Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Kutoka katibu mkuu wa wizara mpaka balozi,nje ya nchi,dah!!
Sasa mbona jembe limepelekwa mbali na Arusha tena? Manake kimkakati Nairobi ilikuwa karibu, mtu kwa gari tu anakuja weekend kuzungukia jimbo tarajali. Au ndo kusema walishakata tamaa na jimbo la Arusha?
Hii katiba inayompa mamlaka makubwa Rais bila kuhojiwa popote hata bunge kuthibitisha teuzi zake inaliumiza taifa
Nchi kwa kuwanyenyua vimwana.....dah!!!! Safari zitaanza kuelekea japan sasa.
Sio yeye tu, chama chote kimeshakata tamaa na Arusha! Matumaini pekee ni jimbo la Le Mutuz
Sasa mbona jembe limepelekwa mbali na Arusha tena? Manake kimkakati Nairobi ilikuwa karibu, mtu kwa gari tu anakuja weekend kuzungukia jimbo tarajali. Au ndo kusema walishakata tamaa na jimbo la Arusha?
Rais Kikwete amemteua Batilda Salha Burian kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Japan kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini humo Bi. Salome Sijaona ambaye amestaafu. Vilevile Rais Kikwete amemteua Bw. John Michael Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya kuchukua nafasi ya Batilda. Kabla ya uteuzi huu Bw. John Haule alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
Actually kamhamisha toka kuwa balozi wetu nchini Kenya kwenda Japan. Labda anataka akakae mbali na yule jamaa aliye waumbua wakati wa BMK (ex-Chief Justice wa Zanzibar)
Kutoka katibu mkuu wa wizara mpaka balozi,nje ya nchi,dah!!
Hivi wanajamvi hii speed ya kuteua wtu mwishoni mwishoni hivi huyu jamaa mbona imezidi saana mpaka anatutishaaa