Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Yaani Kila TEUZI NYETI Anafanya RAIS(Bila kuthibitishwa na bunge),Sasa sisi tusio ndani ya NETWORK huku TANDALE itakuwaj
Sahau utakuwa msindikizaji, benki kuu wao na idara nyeti zote, ukoo wa panya
 
Huyu ameshindwa kuimarisha uhusiano wetu na Kenya Bado Rais anampandisha cheo kwa kumpa ubalozi wa kanda!!
Bongo kweli tumejaa vichekesho!! Balozi wa Japan alitakuwa kuwa aliyekomaa kwene mambo ya diplomasia na intelijensia. angalau angempeleka mzee Adadi Rajib au Mzee Mapiri au kabisa mzee saidi mwema!!
 
Tumekuwa tukiwaona mabalozi mabalimbali wakishiriki shughuli za maendeleo mfano ni balozi wa marekani china sweden na japan, lakini sijasikia mabalozi wetu huko waliko wakishiriki shughuli za maendeleo au kuwaongoza wafanyabishara wetu katika makongamanao ya kibiashara.

Kwa sasa kuna maonyesho ya magari ya Qater nilitegemea balozi wetu angekuwa anaongoza msafara wa wafanyabiashara wetu kuona ni fursa na technolia zipi mpya zimeingia sokoni.

Africa ya kusini huwa kuna tamasha kubwa la Indaba maonyesho ya kibiashara ya uturuki nilitegemea hawa mabalozi wetu wangekuwa wanawaalika watanzania wakajionee fursa zilizoko huko lakini pia hata kuosha macho tu inatosha.

Tunao wasanii wanaenda kupiga kazi na hatimae kuja na dola za kutosha, nimeona Diamond akifanya show burundi Congo Rwanda Uganda India Ujerumani uingereza lakini kote huko sijasikia akikaribishwa japo kusalimiana na wafanyakazi wa ubalozi.

Niliona watumishi wa Tigo walivyofarijika na ujio wa Diamond ofisini kwao, naamini kabisa akiwatembelea maofisa wa ubalozi pale New Delhi watafarijika kama walivyofarijika wale wa Tigo.

Sasa hivi tunayo majengo yetu katika balozi za Ufaransa Itally Uiengereza Kenya nilitegemea katika moja ya gorofa wangetenga hotel kwa ajili ya kufikia watanzania naamini itasaidia sana watanzania kujiona wako salama wanapotembelea hizo nchi.
 
Huyu ameshindwa kuimarisha uhusiano wetu na Kenya Bado Rais anampandisha cheo kwa kumpa ubalozi wa kanda!!
Bongo kweli tumejaa vichekesho!! Balozi wa Japan alitakuwa kuwa aliyekomaa kwene mambo ya diplomasia na intelijensia. angalau angempeleka mzee Adadi Rajib au Mzee Mapiri au kabisa mzee saidi mwema!!

Kwanini upendekeze wazee tu, je hakuna vijana wenye uwezo hadi kila siku tuweke mabalozi wazee?
 
Kwanini upendekeze wazee tu, je hakuna vijana wenye uwezo hadi kila siku tuweke mabalozi wazee?

Hata mie huwa najiuliza Salim alienda ubalozini akiwa na umri wa miaka 21, Mwinyi 22, hasan diria 26, sio mtu akistaafu utumishi wa umma ndo awe balozi, hapana. kwanini vijana kama Lazaro Sokoine Jerry Slaa kwanini wasichaguliwe kuwa mabalozi?
 
Huko ccm hakuna viongozi wapya jamani? kila siku#WALE WALE?

Chama lina watu kibao,wengi wao wamebakia kushabikia tu ama kweli ccm ina wenyewe na ndiyo hao hao wanaopeana vyeo

Imagine kiongozi anazaa mtoto anasomesha hadi elimu na juu then anakuja kumpachika ofisi za umma baada ya mda anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya,mbunge wa viti maalumu wewe upo tu na nvi zako eti sisimu damu damu,damu damu huwaoni wanavyopepeana madaraka? shituka ww
 
Nimekupa like ila please fafanua bhana

Mchango wangu upo wazi hapo haujaficha kitu jaribu kuvaa miwani utaona. Nikizidisha nitakuwa nina-interest tofauti na thread ilivyo.
 
Rais Kikwete amemteua Batilda Salha Burian kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Japan kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini humo Bi. Salome Sijaona ambaye amestaafu. Vilevile Rais Kikwete amemteua Bw. John Michael Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya kuchukua nafasi ya Batilda. Kabla ya uteuzi huu Bw. John Haule alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Ina maana Batilda hataki tena ubunge Arusha?

Yote haya ni mateso ya Lema ndiyo maana Mama wa watu hana Makao maalum sasa.

Ushauri wa Bure kwa Mama huyu aunagame Dhambi zake zote, na kurudi Kundini., Mama Karibu uone ufalme wa Mbigu na kuwaacha Mafedhuli hao.
 
yani wote wateule wa rais halafu mmoja aripoti kwa mwenzake,kama ni kweli basi reporting system yetu ni shida!!!

Madawati ya balozi zote yapo Wizara ya mambo ya nje sio Ikulu. Mkurugenzi wa taasisi anateuliwa na rais lakini anaripoti kwa waziri/katibu mkuu wizara husika.
 
Madawati ya balozi zote yapo Wizara ya mambo ya nje sio Ikulu. Mkurugenzi wa taasisi anateuliwa na rais lakini anaripoti kwa waziri/katibu mkuu wizara husika.

still kuna kitu kinahitaji kurekebishwa...kwanini katibu mkuu/waziri asimteue huyo mkurugenzi?!!
 
Anamfuta baado kwa aibu aliyoipata Arusha kushindwa ubunge na baado kushindwa Kesi aibuu ya ccm hiyo

Kiukweli alishindwa ubunge, ila naona alipata post kubwa kuliko ubunge. ama kuhusu kesi naona umekosea, huyo dada yangu wala hakufungua kesi labda umesahau au umeamua kujisahaulisha. waliofungua kesi walikuwa wanachama wa ccm na sio yeye kama mgombea.
 
Ki ukweli umechekesha ubunge ni zaidi ya ubalozi duh.. ujue ukipelekwa ubalozi ndo basi tena kwenye siasa na watu wengi wenye future y siasa hawataki hizo post ndo mana wanaenda watu alishachoka. Yani ubalizi hu wa kitanzania ni sawa na kukaa benchi mkuu.
 
still kuna kitu kinahitaji kurekebishwa...kwanini katibu mkuu/waziri asimteue huyo mkurugenzi?!!

Yes, but that is what we suggested to be included in the new constitution. Chenge na mwenzie Sita wakatuona mafala
 
batilda-2.jpg

Dah! Ana mdomo mzuri huyu! Hadi machale ya dauni yamenicheza kudadeki walahi walasuli!

We utafungwa miaka dahali unatamani visivyo vyako
 
Hon. Batilda is nt beautiful by the way
Lakini alishasema sana mamaterry. mwanaume anapomwangalia mwanamke ati kumbe focus yake iko kwenye kile kisichojaa hata mkononi. Mwanaume haangalii sura kwani ndo maana kila mwanamke ni mzuri. Urembo is a relative terminology. Mrembo kwangu sio lazima ni mrembo kwako au kwa yule. The converse is also true.
 
Back
Top Bottom