Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Ina maana Batilda hataki tena ubunge Arusha?

Yote haya ni mateso ya Lema ndiyo maana Mama wa watu hana Makao maalum sasa.

Ushauri wa Bure kwa Mama huyu aunagame Dhambi zake zote, na kurudi Kundini., Mama Karibu uone ufalme wa Mbigu na kuwaacha Mafedhuli hao.

ili afe uchi msalabani kama yesu kristu
 
Je John Haule kutoka kuwa Katibu Mkuu hadi kuwa Balozi wa Kenya amekosa nini? Isije ikawa ni Membe amemgundua kuwa Haule yuko kambi ya Lowassa
 
Rais Kikwete amemteua Batilda Salha Burian kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Japan kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini humo Bi. Salome Sijaona ambaye amestaafu. Vilevile Rais Kikwete amemteua Bw. John Michael Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya kuchukua nafasi ya Batilda. Kabla ya uteuzi huu Bw. John Haule alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
Yuko wapi huyu mrembo siku hizi?
 
Pia wanadai yule mmama sister du msomi alyekuwa sijui TSI sijui uwekezaji Jiwe alimuomba akapigwa chini licha ya urais. Jiwe akamuanzishia fitina sijui analipwa mshahara mkubwa


🤣🤣🤣🤣kumbe vibuti had kwa Rais hhhhahhhhaa
 
Back
Top Bottom