Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Kikwete amteua Batilda Salha Burian kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan

Demotion. Balozi anaripoti kwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje

yani wote wateule wa rais halafu mmoja aripoti kwa mwenzake,kama ni kweli basi reporting system yetu ni shida!!!
 
Actually kamhamisha toka kuwa balozi wetu nchini Kenya kwenda Japan. Labda anataka akakae mbali na yule jamaa aliye waumbua wakati wa BMK (ex-Chief Justice wa Zanzibar)

Nimekupa like ila please fafanua bhana
 
Kumbe huyu mama papuchi yake bado tamu ee!!
 
Rais Kikwete amemteua Batilda Salha Burian kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Japan kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini humo Bi. Salome Sijaona ambaye amestaafu. Vilevile Rais Kikwete amemteua Bw. John Michael Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya kuchukua nafasi ya Batilda. Kabla ya uteuzi huu Bw. John Haule alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Teuzi bado zinafanyika even in the eleventh hour? Duh! Hadi October tutasikia teuzi na mabadiliko mengi. Sijui ni kwa faida ya nani? Hivi kuna tija?
 
Wakuu hivi Captain masawe aliekuwa mkuu wa mkoa wa kagera yupo wapiii au kastaafu naee maana toka kawekwa kipoloo simuoni

Pamoja na Christine ishengoma aliekuwa mkuu wa mkoa wa iringa..wote hao mkuu wa kaya alisema watapangiwa Kazi maalum nashangaa muda wazidi kuyoyoma !!!!!:😕😕😕
 
Yaani Kila TEUZI NYETI Anafanya RAIS(Bila kuthibitishwa na bunge),Sasa sisi tusio ndani ya NETWORK huku TANDALE itakuwaj
 
Katiba ya baba wenu wa taifa hiyo ndo imempa mamlaka ya kufanya hivyo
 
J.K kwa mbwembwe?halafu huyu mama anaonyesha yupo bomba kishenzi,sijaona c.v yake labda ni full electronically ndio maana akapelekwa Japan.
 
Duh! John Haule naye kawa Balozi?! Ama kweli huu ni mwaka wa mwisho wa mheshimiwa mkuu wa kaya.
Ova
 
Back
Top Bottom