Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
NI JAKAYA KIKWETE;
Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji.
Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa wote namba 1 yenye A+ kutokana na kuiongoza nchi katika mazingira magumu, hakuna hela za kutosha, nchi changa na tumetoka kwa wakoloni na hapo wananchi walikua wanapata baadhi ya huduma bure kama matibabu.
So Nyerere na Mwinyi nawapa VIP CLASS sio mbaya sana.
Lakini katika kuwapa viongozi wetu waliofuata maksi , kwangu JAKAYA MRISHO KIKWETE aliyetuongoza toka mwaka 2005-2015 ni Rais namba 1 kwa ubora haswa eneo la utendaji kwa wananchi huku chini.
Chini ya JK bana kuna masuala hata ukifumba macho yanakuja.
1- Kwa JK kulikua na uhakika wa AJIRA kila mwaka (hivi unajua maana ya uhakika wa ajira wewe? unaijua vi-eite? yani enzi za JK ukisoma ualimu wewe ni 100% Mwalimu hata kama utapangwa Tandahimba.
2- Kwa JK kulikua na uhakika wa nyongeza ya mshahara kila mwaka, hivi unaelewa kila mwaka? Kulikua na UHAKIKA WA KUPANDA MSHAHARA hata kama ni BUKU ila ulikua unapanda.
3- Kwa JK kulikua na stability na mfumuko wa bei kwa vitendo.
4- Kwa JK hakukua na MIJADALA UA UTEKAJI, UTESAJI SIJUI NINI.
(Kulikua na matukio machache kama Dk Ulimboka yani yanahesabika sana)
5- Siasa za vyama vingi JK alizitendea haki, huyu JK alilipa uwanja ambao CHADEMA wakiwa na LOWASSA walikua waukose maana kina NAPE NNAYE kama alivosema juzi waliulipia, ila JK akawaambia waacheni akawalipia upinzani wakafanya.
Ndio aliwaita wapinzani Ikulu akawauliza mnasemaje, wakasemaKatiba mpya, akawaambia sawa tutayajenga.
6- JK ilipita sheria kuhusu sisi wanahabari, wengi wakisema elimu yetu inzie DIGRII , sheria ikapita bungeni ila wakina Hayati Mzee Mengi (MOAT) walienda Ikulu wakwamwambia Mzee tusidie haya masharti magumu, humo kwenye sheria kulikua na kipengele cha kila sa 2 kamili usiku TV zote nchini zijiunge na shirika la habari Tanzania utake usitake ila JK alisikiliza na akafuta hizi vipengele.
7 - JK aliwahi kushtakiwa na serikali yake hapo walishtakiwa na kina DK HELLEN KIJO BISIMBA na LHRC wakaishinda serikali ile kesi.
8- Siku moja.
Huyo ni JK ambaye tunae kwa sasa na hajajengewa sanamu popote, ukizitazama dosari za JK ni sawa zilikuwepo, lakini Mzee aliwezaje kuendesha nchi kukiwa na dosari vile?
1- Watumishi hewa walikuwepo ila alikua anaajiri kila siku
2- Vyeti frki vilikuwepo ila kila mwaka anapandisha mshahara
3- Ufisadi ulikuwepo MEREMETA , ESCROW nk lakini hizo barabara uanzopita kwenda mkoani kwenu zilikua zinajengwa.
Nimeweka machache kati ya mengi ninayoona JK kwa mujibu wangu hizi kampeni za Wazanzibar kutaka kumuongezea muda Mh. Rais Mwingi tungezipiga kwa JK nahisi .