Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matrix za kisiasa kama huzijui wewe kalime karafuu tu!Umezungumzia uteuzi wa Makonda na kuhusu teamwork kwenye CC.
Umezungumzia kucheka kwa Mzee Kikwete huku akificha kisasi cha hatari moyoni na kupuuzwa ushauri wake.
Na haya yote yametokana na hotuba ya Mzee Kikwete kuhusu Ushauri.
Sasa DP World imetoka wapi?
Hao ‘many’ wametoka wapi?
Bado yupo vizuri sana. Njia anayopita ni sahihi kabisa. Mfupa alioubakiza ni huu wa katiba mpya.Mkuu hizo ndo siasa za Bongo.
Mbwa kumrarua mbwa.
Usiingie siasa kutegemea utasifiwa tu, kuna wakati hata wanaokupenda watakurarua, tena kwa nia njema.
Muhimu mwanasiasa kufanya siasa kwa misingi ya maendeleo ya watu, utu na kuheshimu wale anaowaongoza kwa siasa za ukweli.
Mama alianza vizuri sana, lakini suala la DP Weldi has left a bitter taste.
Matrix za kisiasa kama huzijui wewe kalime karafuu tu!
Halafu mwambie mama, teuzi za watu wa kwenu kwenye mambo yasiyo ya muungano zinatukera.
Ha ha ha!You have a problem.
Nikalime karafuu wapi?
Watu wa kwetu wapi?
Eti matrix za Siasa!
Kwamba wewe ndio unaziweza? How?
Ha ha ha!
Usha ingia tangent!
Mkuu tuwekee orodha ya washauri rasmi wa Rais ili tujiridhishe na kauli yako hii.Mnafiki mkubwa Yeye ( Kikwete ) anasema nini wakati Yeye ndiyo Mshauri Mkuu mbovu wa Rais Samia?
😡URAIS uliishia kwa KIKWETE! Hawa wengine wanajaribu jaribu tu 🙏🏽 😂
Mkuu alikuja Sokoine waziri mkuu matata sana ikawa historia na akaja Magufuli tena akiwa na minguvu kama yote kaenda zake mapema sembuse makonda tena mwenezi, ujue katangulizwa mlima kitonga na baisikeli ya mbao!Mkuu hii inchi Ina hitaji akina makonda wengi Sana kusudi mambo ya songe 😂😂
Mkuu he is the retired and former president of the United republic of Tanzania!Who is he in this country? The dude is overrated.
Mkuu you seem to be Harbouring serious personal hate against HE JK for him giving an elderly advice to leadership of the day! Hate is not good for the hater bro!I hate people who think are smarter than and own the majority.I regard them as fools because they take the position of God whilst they are mortal creatures.
You're a blcksheep to your family ....your green brains its not for politics ni wakunyea mavi Tuu......unaongea na mwanaume sio demu kama wewe ...naweza kukugegeda tako hilo anytime.mavi ya nyokoJifunze kuoga kila mara unapotoka kufanya ufedhuli. Itakusaidia kuacha kuhisi harufu ya kinyesi muda wote kiasi kinakukaa akilini na matokeo tunayasoma kwenye maandishi yako.
I’m truly sorry for your misery.
Mama namsapoti, ila aangalie kila wakati, over her shoulder.Bado yupo vizuri sana. Njia anayopita ni sahihi kabisa. Mfupa alioubakiza ni huu wa katiba mpya.
Pengine hao wanaolia na ushauri, ni kwa sababu ya kuona ana nia njema ya kuipata katiba mpya ambayo ni mwiba kwa CCM kama chama huko mbeleni.
Mama kanyaga twende, hao wametuchelewesha sana.
Mkuu usidadie treni kwa mbele, Mchambawima haziko huko!You are the one who has been having tangential thoughts just after my first quote to you.
Chose a line and stick to it otherwise unlearn to throw words aimlessly and master your emotions.
Politics is not a game for the weak & hopeless minded.
Leo serikali imefanyia kazi maoni ya mheshimiwa Jakaya Kikwete
Hilo dude halipo kwasasa, vp mambo ni kama Geneva?Nimemwona, ukweli nilifarijika sana. Kuna Dude moja huko chamani lilisema Wazee w a kishastaafu wasiongee eti wakalee familia!