Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Duh! ITV, Chanel ten, Star TV na TBC1 sijui TBC2 inawezekana na wao wamerusha.
 
Dr.Shein kidogo anaonekana ana haiba ya uadilifu..ingawa ndio hivyo tena ni sawa na tone la sindano katika bahari
 
Naona mkutano ndio umeahirishwa hapa kwa dakika 15 kumpa nafasi JK kukutana na CC kabla hawajamtangaza rasmi mgombea mwenza.
 
Kundi la burudani la CCM (TOT) chini ya John Komba linaendelea kuporomosha burudani hapa.
 
Jina la mgombea mwenza wa JK limezua mjadala mrefu (JK aliahidi dh 15 sasa dh30 na bado).
 
Du!! NIlimwona Job Lusinde kazeeeka lo! lakini naona baado yupo tu, eti akasema JK ameinua kiwango cha soka mno kuliko huko nyuma!! anazeeka vibaya!
 
Hivi hawa watangazaji wa Star Tv ni professional anchors/presenters/journalists kweli.???????...maana wanajing'atang'ata tu hapa.
Safari ndeeefu sana tunayo.
 
Sitaki kuamini kabisa kama hawa waliohudhuria NEC wako serious
 
its over.ni shein.siasa za dodoma zimevuna kilichopandwa.let the bygone be ze bygone.albeit haka kamfumo ka rais wa znz kuchaguliwa na wajumbe wa bara na visiwani sikubaliani nayo kabisa.let ze zanzibari choose their leader:A S-eek:.huyu jamaa sio popular zenj
 
Hivi hao CC hawajui kuwa soon kuna world cup match????
 
Hivi hao CC hawajui kuwa soon kuna world cup match????

Nini Wedi Kapu Mkuu, Leo hata Taarifa ya Habari hamna nimeamua kutume TV ya Mozambique nacheki Closing Ceremony ya Wedi Kapu
 
Back
Top Bottom