Kikwete apewe maua yake walau alikuwa anamwogopa Mungu, CDM kupata wabunge 75 kwa tume hii!

Kikwete apewe maua yake walau alikuwa anamwogopa Mungu, CDM kupata wabunge 75 kwa tume hii!

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
178
Reaction score
402
Nimemsililiza mhe. Lema akitoa mfano wa jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi wanavyopatikana na waimamizi wanavyoteuliwa. Hakika Kikwete ni muislam. Japo ana mapungufu yake mengine lakini walau ana hofu ya Mungu.
 
Usiseme muislam tu sema alikuwa mtu wa imani ya Mungu, usimnasibishe na uislam
 
He was week.

Ufisadi ulitisha sana.

Wapinzani walikuwa wanajua siasa sio wa sasa hawa wanatafuta hela wanunue marenji.
 
Back
Top Bottom