Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

Sijaona nchi ya ovyo yenye watu na raia wajinga kama Tanzania.... wanaendeshwa km kondoo... sasa ndio inamiliki uchumi badala ya uchumi Kumiliki siasa
 
Uju Anya nae hajasema chochote kuhusu hili?
 
Mutai ni Mkenya sio Wakenya. Mbowe huwa anawalipia ada za kusomea ujinga?
Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja!! narudia tena …(Africa ni moja!).....km hawataki kikwete aende Kenya na kutoa ushauri, nini maaana ya jumuiya!...….kama yeye mkenya aliona mapengo ya demokrasia aje huku atushauri hajazuiwa!

kupiga kelele wkt amekaa kitini Kenya ni ujinga Zaidi!...ndo waua jumuiya hao!....hii jumuiya ni yetu imetugharimu pa kubwa na mengi!! hatutaki kuona inavunjika! ajili ya wala mihogo!..kikwete ni kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…