Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Kombora limerengeta shabaha yaaani mulemule ....Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
View attachment 2351444