Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.

View attachment 2351444
Ni kweli kiongozi kutoka Tanzania hana moral authority ya kuongelea democracy popote pale duniani labda makaburini na kuzimu na chini ya bahari Kwa mashetani
 
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.

View attachment 2351444
Kama ni lecture kwani unalazimishwa kuingia? Si uendelee na mishe zako.Na bado atakuja 🤪
 
watanzania bila mjeledi hawaendi, watapiga soga weee.......hadi muda unakwisha.

ndio maana hayati JPM aliwashikia mjeledi na akili ziliwakaa sawa, sasa naona mama kawalegezea sasa wanaanza kubweka!!

tunamuomba mama akaze vilivyo.
Huyo ni mkenya, anaogopa musiwaambukize maujinga yenu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja!! narudia tena …(Africa ni moja!).....km hawataki kikwete aende Kenya na kutoa ushauri, nini maaana ya jumuiya!...
Mkiambiwaga ukweli mchungu mnaanza ooh Tanzania ni nchi huru hatupangiwi cha kufanya, Huko Kenya mnapeleka bumbu za nini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom