Kama ushauri wa mzee Kikwete ni mbaya basi wangeshika bunduki na wale mungiki wangeingia mitaani tu yaani hivyo kudai matokeo, mbona wameenda mahakamani?Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
View attachment 2351444
Ni mtu dhaifu na mjima anayejadili watu badala ya hoja. Tanzania iko mbele sana kiustarabu🙏🙏🙏