Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

watanzania bila mjeledi hawaendi, watapiga soga weee.......hadi muda unakwisha.

ndio maana hayati JPM aliwashikia mjeledi na akili ziliwakaa sawa, sasa naona mama kawalegezea sasa wanaanza kubweka!!

tunamuomba mama akaze vilivyo.
 
Huyo Mkenya kama bado hajaoa nampa binti yangu bikra kama tuzo.
Ameandika ukweli mtupu ambao watu wengi kama sio wote hawawezi kuandika wala kusema hadharani.
 
Hii habari ya ku-lecture nchi nyingine juu ya demokrasia ni ulozi uliotukuka, ingekuwa tunatoa elimu ya wizi wa kishamba na kitoto wa kura ningeelewa vyema.
Hahaha Kikwetwe ameumbuka kweli kwahili
 
Wakenya au mkenya?
 
watanzania bila mjeledi hawaendi, watapiga soga weee.......hadi muda unakwisha.

ndio maana hayati JPM aliwashikia mjeledi na akili ziliwakaa sawa, sasa naona mama kawalegezea sasa wanaanza kubweka!!

tunamuomba mama akaze vilivyo.
Una mawazo ya kikoloni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…