RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.