Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa umeacha amali nzuri huku duniani, ukiwa umeacha hadithi nzuri ya maisha yako huku duniani basi utakuwa hadithi nzuri, na amali nzuri zitakusemea pale ambapo hautakuwa na uwezo wa kusema... (Mzee Ruksa, 2021)Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Jk kwa sasa anaonekana sana kwenye media.
Sijui kuna jambo gani nyuma ya pazia.
Nimekuelewa.View attachment 2126981
uongozi tulionao sasa, kwenye media tunaona anamchoma na kisu kumbe anakimbia asichomwe na kisu.
tunaona tunaongozwa na gauni kumbe ni kanzu.
Mzee anaendelea kupiga mawe tu.....
Kumsema marehemu ni vibaya sana.Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
John Pombe
JK hajamsema marehemu. Nyinyi humu ndio mnamsema marehemu. Yeye kaongelea lililokuwa baraza lake la mawaziri.Kumsema marehemu ni vibaya sana.
Naomba niishie hapo.
Ndio tujitahidi kuishi na watu vizuri hata tukiondoka tukumbukwe kwa wema...Mzee wa watu kalala ila bado anachapwa viboko vya maneno kutoka kwa watesi wake, hakika hakuna rafiki wa kweli duniani.
Mzee wa watu kalala ila bado anachapwa viboko vya maneno kutoka kwa watesi wake, hakika hakuna rafiki wa kweli duniani.
JK tena 2025Jk kwa sasa anaonekana sana kwenye media.
Sijui kuna jambo gani nyuma ya pazia.
Angempa u waziri kama walikua na bifu?Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Hivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?Hii katiba ina viraka vingi sana.
Maana ni katiba hii ya mwaka 1977, ilifanyiwa amendment ili kuanzia 1995 Rais agombee na mgombea mwenza (running mate) kama US. Na bila shaka walifanya hivi ilikitokea Rais wa JMT katokea chama A na Zenji CUF ilikuwa na nguvu sana, basi Rais wa Zenji asiwe VP by default na ndio Zenji Rais wao akawa sio makamu wa Pili wa Rais kama Rais katokea Zenji.
Kiukweli hii katiba ya 1977 imeshonwa sana, ni vema ile rasimu ya Warioba ingesongeshwa; ila sasa ndio hivyo. Walioanzisha mchakato hawakuwa na nia ya kweli ya kutupa katiba.
Walitaka katiba iwe kick ya mpito ili muda wao wa kuondoka madarakani uende huko focus ya watu ikiwa katiba mpya.
Tanzania ni zaidi ya tujuavyo.
Your analysis is absolutely correct, huyu mzee kuna namna anawish aje tawazwa kuwa baba wa taifa msaidizi maana sio bure
Kuchomekea kupo mkuu, mwenye mada atakuelewa tuu...Natamani tuendelee na mjadala lakini tutaharibu mada ya watu
Kama una muda lete Uzi wa hili swala tupeana ujuzi na uzoefu mkuu
Na kwanini aliacha ukaishia njiani na mabilioni yakaliwa ?Hivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?
Acha uzwawa wewe.JK hajamsema marehemu. Nyinyi humu ndio mnamsema marehemu. Yeye kaongelea lililokuwa baraza lake la mawaziri.
Yule alikuwa mshirikinaKuna mtu alikuwa anaamini amewekewa sumu
Mungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingotiHuyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.