Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.

Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.

Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.

Wengi waliokimbilia kikombe cha babu walikuwa na HIV
 
Watu wa Pwani wanapenda sana mafumbo mafumbo, ila nawaambia hivii, fumbo mfumbie mjinga mwenzako
 
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.

Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.

Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.

Dongo kwa mwendakuzimu 😬😬.By the way Tzn ni Nchi inaongoza kwa witchcraft Duniani
 
Sawa sijabisha ila aliposema huyo waziri alitumia kigezo cha "tunajenga barabara"moja kwa moja huyu ni magu maana ndie aliekuwa kitengo cha ujenzi
Ni sahihi ila kazungumzia baraza la mawaziri na maamuzi sio mambo ya kumponda marehemu.

Hakuna tofauti na kusema aliyekuwa waziri wangu tulimpitisha kuwa raisi ila kuna mambo alifanya yakaleta shida, mfano suala la korosho. Hajamsema marehemu, kasema taasisi ya uraisi iliyokuwa ikiongozwa na ambaye ni marehemu.

Ukishamtambulisha mtu kwa nafasi yake basi unaongelea taasisi nzima na sio mtu binafsi.
 
Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,
Ndiomana hata kuitwa mzee hataki mshishangae ambao hawajastaafu u Freemason ndio walivo, kuitwa si kwa Magufuli pekee maandiko yasema nae ataenda kwa kadri anenavyo ndivyo asogea karibu.
 
Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,
Jizi Hilo Nani apoteze muda kulifikiria.
 
Ni sahihi ila kazungumzia baraza la mawaziri na maamuzi sio mambo ya kumponda marehemu.

Hakuna tofauti na kusema aliyekuwa waziri wangu tulimpitisha kuwa raisi ila kuna mambo alifanya yakaleta shida, mfano suala la korosho. Hajamsema marehemu, kasema taasisi ya uraisi iliyokuwa ikiongozwa na ambaye ni marehemu.

Ukishamtambulisha mtu kwa nafasi yake basi unaongelea taasisi nzima na sio mtu binafsi.
Sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom