Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hata nyerere kipindi amestaafu, bado alikua anaongelea siasa mfano kuzuia NBC bank isiuzwe, japo mkapa hakumzimiliza, au kuwatungia akina john malecela kitabu ili asigombee urais,,,Your analysis is absolutely correct, huyu mzee kuna namna anawish aje tawazwa kuwa baba wa taifa msaidizi maana sio bure
Sasa kama Nyerere alikua kastaafu lskini bado alikua anaongea , kama mkapa alistaafu lakini bado alikua anaingilia hata kuchagua nani awe mgombea urais. ,
Iweje leo iwe nongwa kwa jk, kuongelea suala dogo kama hilo ambalo pia ni ukweli?
Hivi mnadhani kwanini marais wastaafu nao hupewa security briefing?..
I mean ukimtoa mwinyi ambae umri umeenda sana, JK ndo anabaki kuwa Rais mstaafu pekee ambae bafo yuko capable,
Which means anakuwa automatically someone to run to for getting some advices in running the country. ,
Aaand that is very reasonable,, ukichukulia Rais aliepo bado hajamaliza hata mwaka madarakani[emoji2371]