Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Hivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?
Mie nadhani alisoma upepo tuu worsen thing ni kwamba constitutional assembly yote aliweka watu wake wenye kufwata anacho taka yeye
Nb wajumbe mia SITA nusu yao ni presidential appointee what next will happen

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha uzwawa wewe.
Kasema aliekuwa waziri wake kamwambia anatengeneza barabara sasa kipindi ni Rais waziri wake wa ujenzi si alikuwa magu?
Kazungumzia baraza lake la mawaziri walivyoamua kutumia kikombe cha babu ila wewe na wenzako kama wewe mnataka vita na JK mkitumia kisingizio kwamba waziri wake mmoja ni marehemu.
 
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.

Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.

Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.

Kampiga dongo la kiaina mwendazaKwe
 
Sawa sijabisha ila aliposema huyo waziri alitumia kigezo cha "tunajenga barabara"moja kwa moja huyu ni magu maana ndie aliekuwa kitengo cha ujenzi
 
Back
Top Bottom