Mwacheni apumzike!John Pombe
Ila kwa kutaja RIP nafikiri alikosea kidogo.Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi,wewe umehis ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Mwacheni apumzike!
Wewe unamsema ndesa!Huyo kazi yake ni kukata kuni na kuchoma mkaa na kichimba gesi ya motoni bwashee. Hapumziki.
Kaa kwa password bwasheeWewe unamsema ndesa!
Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,Eulogy inaongelea uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote it’s all about J.K akipewa
Naanza kuona traits of narcissism umuhimu J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned.
Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka, security threats; halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao.
Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration.
Mzee wa msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli may be psychological intervention is needed.
Ameacha urais kwa kutoka Ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,
Maana alitokomea na brief case ya mkulima wa mahindi Sekeni Sanga!Kaa kwa password bwashee
[emoji23][emoji23][emoji23]Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,