NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mwaka huu mtawaita hata wazazi wenu wasukuma.Wasukuma mnaweweseka sana
Opportunity haiwezi kubaki kwako kwa muda mrefu ikiwa huna IQ ya maana. Kupata opportunity hata mjinga anapata ila swala la kuitunza na kuiendeleza ni swala la I
Hapa siongelei takwimu nchi gani inakula na kwa kiasi gani,. Ila uelewe kuna correlation ya ulaji wa samaki na IQ, nchi nyingi wanazokula samaki, hata hapa Tz sehemu wanazokula samaki wana ubongo mkubwa, kuna hiyo scientific correlation and it's not a coincidence. Is it hard to grasp that?Nchi zinazoongoza kwa kula papa ni Italia, Span, Korea na Hong Kong!
Japan ndio inaongoza kwa kula Tuna, robo ya tuna duniani inaliwa na Japan!
Hiyo nafasi unaipataje? Kama ni rahisi mbona wewe hupati? Utawezaje kuwatawala watu bila akili? Waasisi wa harakati za Uhuru wa nchi hii umeanzishwa na watu wa Pwani kina Sykes, Dosa Aziz nk.. Nyerere alikuja jiunga baadae. Kwenye mziki wanaoongoza au kitovu cha muziki kipo Dar- Pwani, Mpira, biashara nk. Kwanini isiwe Songea? Au Rukwa?Nilifikiri unazungumzia swala la akili kumbe ulimaanisha kupata nafasi serikalini?? Kupata nafasi haina maana kuwa una akili, we huoni mama yenu anavyohangaika??
Mpira na pwani wapi na wapi? Mziki na pwani wapi na wapi??
Sasa kwenye IQ ndo tumekwisha kuconclude..wanaoongoza kwa IQ wanatokea Mashariki ya mbali. Yeye anasema Ashkenazi Jews. NoMimi ninachosisitiza ni kwamba, pamoja na hizo factor nyingine unazotaja swala la IQ litakuwa included tu, no matter how unajaribu kuliruka.
Yes kuna factor nyingine nyingi zinazofanya wafanikiwe, IQ ni moja ya factor.
Na ndiomaana karibia 85% ya watumishi wa umma Tz ni incompetent, wengi ni wajinga tu. Eti division four ya 28 mtu anaenda kusomea nursing, ooh polisi matokeo yake tumaejaza watu wa hovyo tu kwenye sekta nyeti na hao ndo wanatupa shida mpaka hii leo.Kikwete alikuwa anakula na watz wote. Huoni watu wanaandika thread humu kwamba "JK alikuwa anapata wapi hela za kuajiri nyomi kiasi kile kila mwaka"?.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ile kuwateka Azory Gwanda na kina Ben Saa8 ni science?!Ile legacy haifutiki leo mzee , alikuwa na mabaya yake lakini katika science ya kuteka mioyo ya watu alikuwa fundi na hata wewe unajua.
Ndiomaana hata baada ya yeye kufariki ni mwaka mmoja sasa unaelekea lakini bado hawaamini, wanang'ang'ana kuaminisha watu vinginevyo.
Ndio ukweli,Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
Nitajie wanamziki wenye mafanikio waliopo Dar ambao asili yao ni pwani au ni wazawa wa Dar, hiyo Dar unayoiona na maendeleo unayoyaona hapo 90% si ya wazawa ni ya watu wakuja. Wazaramo hawana chao hapo Dar.Hiyo nafasi unaipataje? Kama ni rahisi mbona wewe hupati? Utawezaje kuwatawala watu bila akili? Waasisi wa harakati za Uhuru wa nchi hii umeanzishwa na watu wa Pwani kina Sykes, Dosa Aziz nk.. Nyerere alikuja jiunga baadae. Kwenye mziki wanaoongoza au kitovu cha muziki kipo Dar- Pwani, Mpira, biashara nk. Kwanini isiwe Songea? Au Rukwa?
Huyu Mzee tunamuelewa sanaAmeacha urais kwa kutoka Ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.
Viongozi tukianzia rais wa Tz na Zanzibar na mawaziri kibao tu ni watu wa Pwani. Tatizo wewe akili yako ni finyu unaona pwani ni Dar na ni wazaramo. Pwani ni kuanzia Tanga mpaka Mtwara huko. Kifupi unatawaliwa na watu wa Pwani, kina JK na kina Awesso nk. Nusu ya baraza la mawaziri wanatoka Pwani.. hesabu mwenyeweKi
Nitajie wanamziki wenye mafanikio waliopo Dar ambao asili yao ni pwani au ni wazawa wa Dar, hiyo Dar unayoiona na maendeleo unayoyaona hapo 90% si ya wazawa ni ya watu wakuja. Wazaramo hawana chao hapo Dar.
Katika hii nchi swala la kuongoza bado linategemea akili kubwa?? Hahahah wewe hujui lolote. Nitajie viongozi wa juu hata 7 tu wenye profile kubwa ya elimu.
I would encourage you usome papers za Neurogenesis then we can have a meaningful discussion, don't underestimate the power of nutrition to creating a smart person and smart community. Carbohydrates hauwezi Jenga community ya watu wenye uwezo kiakili even if they are genetically disposed! Nurture ni kitu muhimu sana ikiwemo na elimu Bora, huu mtaala wa Sasa unazalisha wajinga and not independent thinkers.Kwa nini wakati huko wanakula samaki pia kama kanda ya ziwa Manelezu ?
Waafrika tumeacha tamaduni zetu kwa vusingizio vya kijinga tu, mtu anaambiwa kutimiza matakwa ya mila zake ni kuabudu sanamu ilhali yeye anaabudu mizimu na mababu wa kizungu ambao hata hawamjui, Yakobo, Isaka sijui Yohana hiyo sio mizimu ya kizungu?? Maana ni watu waliokufa.Ndio ukweli,
Hivi tujiulize sie na wachina wanaoishi hapa bongo nani ana maisha mazuri?wao hawaendi kwa mwamposa,kuhani musa Wala kwa gwajima,wao wanaanzisha makampuni nk,harafu wanatupa ajira,mshahara ukiwa mdogo,sie tunaenda kwa "manabii"watuombee Ili mshahara uongezeke.
Hapa siongelei takwimu nchi gani inakula na kwa kiasi gani,. Ila uelewe kuna correlation ya ulaji wa samaki na IQ, nchi nyingi wanazokula samaki, hata hapa Tz sehemu wanazokula samaki wana ubongo mkubwa, kuna hiyo scientific correlation and it's not a coincidence. Is it hard to grasp that?
Hoja yangu ni kwamba wana akili sana kama unavyowanadi?? Swala la kuongoza hapa Tz halihitaji akili na elimu kubwa kama kwa wenzetu hata wewe hapo unaweza ukawa pamoja kwamba hauna akili. Hao wote ulionitajia ni matutusa tu.Viongozi tukianzia rais wa Tz na Zanzibar na mawaziri kibao tu ni watu wa Pwani. Tatizo wewe akili yako ni finyu unaona pwani ni Dar na ni wazaramo. Pwani ni kuanzia Tanga mpaka Mtwara huko. Kifupi unatawaliwa na watu wa Pwani, kina JK na kina Awesso nk
I would encourage you usome papers za Neurogenesis then we can have a meaningful discussion, don't underestimate the power of nutrition to creating a smart person and smart community. Carbohydrates hauwezi Jenga community ya watu wenye uwezo kiakili even if they are genetically disposed! Nurture ni kitu muhimu sana ikiwemo na elimu Bora, huu mtaala wa Sasa unazalisha wajinga and not independent thinkers.
Mpaka wanakuongoza wewe mwenye akili, ni wazi wana akili zaidi yako. Wewe unadhani tu una akili, lakin wao ndo wana akili.Hoja yangu ni kwamba wana akili sana kama unavyowanadi?? Swala la kuongoza hapa Tz halihitaji akili na elimu kubwa kama kwa wenzetu hata wewe hapo unaweza ukawa pamoja kwamba hauna akili. Hao wote ulionitajia ni matutusa tu.
Weka Angalau papers tatu, halafu unatumia kipimo gani kusema watu wana akili sana?
Kwa hiyo unafikiri Kikwete anahitaji respect yako?!!Mimi pia kikwete hata afanye nini ni mhuni tu na mnafiki mkubwa. No respect to him.
Ahahahahahaha kwahiyo Bwn msukuma nae anakili kuliko watz wengine kwakua ni kiongozi??Mpaka wanakuongoza wewe mwenye akili, ni wazi wana akili zaidi yako. Wewe unadhani tu una akili, lakin wao ndo wana akili.
Huyo Konyagi Mbatizaji wenu, katangulizwa na korona aliyo idharau!N suala la muda TU
Kuna siku atajikuta ameropoka mbele ya kadamnas kuwa n yeye aliyefanikisha kumtanguliza bwana konyagi mbatizaji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app