Kuna papers zipo kidhaa wamekuja wazungu kufanya tafiti,. Na sio Tz tu hadi Kenya upande wa ziwa Victoria, Wa Luo wana akili sana na wanasema ni hao sangara na dagaa...ndio wanatoka kina Obama huko, very smart people, ukiona mzungu anaenda sehemu kufanya tafiti za Brain science ujue kuna jambo wameliona. Na kuhusu pwani inategemea samaki gani mtu anakula,kuna samaki wengine ni dentrimental, wana madhara kuliko faida, lazima awe fatty fish with low or no toxins kama mackerel, sardines, herring etc, sio unakula papa au tuna etc