Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kwa kweli kipindi chake jk alikuwa hajisikii amani kabisa Mana alikuwa anapondwa kwenye majukwaa, kanisani na misikitini. Kila akiinua kinywa tu jk analo. Mpaka akagikia hatua ya kumwambia anawashwa washwa.

Mwache na yeye apondwe Mana ndo alivhoasisi. Zaidi ya hapo yeye ndo alikuwa mpondaji mkuu. Sijui ulikuwa ushamba wa madaraka au uwezo mdogo. Kwanza lini mwalimu akawa na uwezo wa kuongoza watu
Shika adabu yako.

Nyerere alikuwa mwalimu
Mwinyi alikuwa mwalimu
Magufuli alikuwa mwalimu
Majaliwa alikuwa mwalimu
Jenista mhagama alikuwa mwalimu.

List ya walimu walioshika madaraka makubwa nchini ni ndefu bwana mdogo
 
Wamekufa marais wote wa zamani isipokuwa Mwinyi(ambae hana tatizo) na Kikwete, Siku ambayo Kikwete atakufa ndio siku ambayo Tz itazaliwa upya maana kila atakeingia pale atakuwa na uhuru wa kutekeleza matakwa yake bila kuathiriwa na team zilizoacha na mtangulizi.

Nimemlenga Kikwete kwakua ndiye pekee asitetaka kuamini, kuwa yeye sio Rais tena.

Kufa kwa Kikwete ndio mwanzo mzuri wa Tz.
Akifa hataacha vimelea?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ni kumtwanga tu marehemu huko aliko mpaka anyooke! Unapigwa juu na chini 😄
 
Ile legacy haifutiki leo mzee , alikuwa na mabaya yake lakini katika science ya kuteka mioyo ya watu alikuwa fundi na hata wewe unajua.

Ndiomaana hata baada ya yeye kufariki ni mwaka mmoja sasa unaelekea lakini bado hawaamini, wanang'ang'ana kuaminisha watu vinginevyo.
Itafutika kadiri watu wanavyojua ukweli. Legasi inayopandwa kimaigizo mara mabulungutu ya hela barabarani,mara kuozesha kwa kuku haina maisha marefu. Njia ya mwongo ni fupi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ameacha urais kwa kutoka Ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.
Sio inaishi kichwa chake..yeye ndo anaongoza nchi hii mpaka sasa.utake usitake. He is the King maker and King unmaker. He is the King himself!!!
 
Back
Top Bottom