Sometimes change require a catalyst and we can do without J.K influence in our politics.
You can’t teach an old dog new tricks.
Agenda ni kumtoa huyu babu kwenye siasa ni tatizo.
Shida ya wazee wetu hawa nikukosa uzalendo tu,. Wana ukwasi wa kutisha but it seems hawaliziki, huwa hawaumii kuona mamillion ya watu ni masikini? Wanaishi nyumba za tope? They're illiterate? Mzee Huwa inaniuma sana kuona waafrika ndio specie pekee duniani tunaishi maisha ya ajabu ukitoa hao wazungu weusi wachache kina JK, ilifikia sehemu niliamua kusoma papers nyingi sana kuhusu brain science,
I thought labda wazungu their brain structure ipo. tofauti na sisi, kitu pekee nime observe it's how they nurture their people, nutrition, experiences, education (quality) but there's is nothing genetically wanachotuzidi, the arguments can only be made to the Ashkenazi Jews (ndio wanaaminika kuwa na akili kuliko wanadamu wote), somehow I can agree kuna scientific evidence to that .
Still, we are as better genetically as the white people,. As japanese etc, tunakosea tu kwenye nurture, that's the only reason our IQ are significantly low compared to global average.
Kwa mfano, nimesoma papers kibao wanasema kabisa vyakula wanavyokula wa mama afrika wakiwa wajawazito vimejaa wanga as opposed to protein and fat, it significantly impair our brain structure, ndio maana unaona European union maziwa ya watoto lazima yawe na DHA, a kind of lipids which is very crucial in building a smart brain. Ndio maana unaona wahaya, na watu wanaokaa mwambao wa ziwa Victoria, pwani wana uwezo mkubwa kiakili ya kula samaki na samaki ana DHA ya kutosha esp fatty fish. Japanese are Said to be smart sababu ya utamaduni wa kula samaki!