Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga...

..umesikiliza hotuba nzima aliyotoa Mzee Kikwete?

..nadhani hujamtendea haki Mzee Kikwete. Hebu msikilize hapa chini.

 
Hata yeye ipo siku atalamba ardhi asijifanye ana bima ya uhai
 
Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.

Vinginevyo wakiamua kukuumiza ni dakika moja tu.

Tuwe makini na kauli zetu tunapowananga.
Bro as long as we were formed miraculously in our mother's womb and we die without arguing as the date has already been determined, the only thing they can achieve is pain and killing you. In time they'll follow suit, that's the beauty of God.

Nakuhakikishia tu na hayapatipa na wao watakinywea kikombe for causing pain to millions, kiburi na umaarufu wa mwanadamu ni muda mfupi sana, it takes millions of years for our sun kufanya mzunguko mmoja tu milk way Galaxy, believe me Mungu hana haraka!!!
 
Hata yeye ipo siku atalamba ardhi asijifanye ana bima ya uhai
That's the beauty of life and God's might, just 3 words,. "Thou shalt die" anavyokufa masikini wa mwisho duniani ndio anavyokufa tajiri number Moja duniani, pumvi inatoka, mengine ni mbwembwe zetu wanadamu,.

Unazikwaje, aina ya kaburi, heshima utakayopata etc, but believe me it doesn't make any difference. Na kuna sababu kubwa kwann Mungu alifanya hivyo but we don't want to learn, tumejaa kiburi.
 
Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.

Vinginevyo wakiamua kukuumiza ni dakika moja tu.

Tuwe makini na kauli zetu tunapowananga.
Kilatha una point hapa, ila usiwe na hofu kiasi hicho.
Katika kutafuta haki/hali bora kimaisha ni aina fulani ya vita.
Vita kuna watakaoumia au hata kufa ili lengo lifanikiwe.
 
Sometimes change require a catalyst and we can do without J.K influence in our politics.

You can’t teach an old dog new tricks.

Agenda ni kumtoa huyu babu kwenye siasa ni tatizo.
Shida ya wazee wetu hawa nikukosa uzalendo tu,. Wana ukwasi wa kutisha but it seems hawaliziki, huwa hawaumii kuona mamillion ya watu ni masikini? Wanaishi nyumba za tope? They're illiterate? Mzee Huwa inaniuma sana kuona waafrika ndio specie pekee duniani tunaishi maisha ya ajabu ukitoa hao wazungu weusi wachache kina JK, ilifikia sehemu niliamua kusoma papers nyingi sana kuhusu brain science,

I thought labda wazungu their brain structure ipo. tofauti na sisi, kitu pekee nime observe it's how they nurture their people, nutrition, experiences, education (quality) but there's is nothing genetically wanachotuzidi, the arguments can only be made to the Ashkenazi Jews (ndio wanaaminika kuwa na akili kuliko wanadamu wote), somehow I can agree kuna scientific evidence to that .

Still, we are as better genetically as the white people,. As japanese etc, tunakosea tu kwenye nurture, that's the only reason our IQ are significantly low compared to global average.

Kwa mfano, nimesoma papers kibao wanasema kabisa vyakula wanavyokula wa mama afrika wakiwa wajawazito vimejaa wanga as opposed to protein and fat, it significantly impair our brain structure, ndio maana unaona European union maziwa ya watoto lazima yawe na DHA, a kind of lipids which is very crucial in building a smart brain. Ndio maana unaona wahaya, na watu wanaokaa mwambao wa ziwa Victoria, pwani wana uwezo mkubwa kiakili ya kula samaki na samaki ana DHA ya kutosha esp fatty fish. Japanese are Said to be smart sababu ya utamaduni wa kula samaki!
 
Kilatha una point hapa, ila usiwe na hofu kiasi hicho.
Katika kutafuta haki/hali bora kimaisha ni aina fulani ya vita.
Vita kuna watakaoumia au hata kufa ili lengo lifanikiwe.

..usihangaishwe na huyo jamaa.

..yeye alikuwa anawinda wenzake wakati wa Magufuli.

..baada ya msiba huenda na yeye amegeuka kuwa mawindo ndio maana analialia.
 
Ujinga tu kwa nini asizungumzie walio hai tu! Familia ya Magufuli inajisikiaje?

..angekuwa amemsingizia sawa, lakini ni jambo ambalo Magufuli alilifanya.

..na hajatajwa Magufuli peke yake, amemtaja na Ndesamburo ambaye naye amefariki.

..JK amezungumzia sakati zima la kikombe cha Babu kwa ujumla wake, na jinsi Dr.Mwele alivyoishauri serikali jinsi ya kukabiliana na sokomoko hilo.
 
Mbona uko kwa Wahaya na mwambao wa ziwa kumejaa umaskini wa kutopea?!
Swali lako hili naweza andika hapa paper ya pages 100 just to give you a scientific perspective as to why? Ila ntakujibu kwa ufupi, kuwa na akili nyingi haina maana unatoka kwenye umasikini automatically, there are lot of smart people, maybe geniuses, wapo wanaendesha bodaboda, wanabeba mizigo just bcz hawakupata nafasi to demonstrate their potential including quality education, hata kama wazazi wako wote ni rocket scientists, and you're genetically advantaged (assortative mating) utahitaji kusoma na kwenda shule ili uwe kama wazazi wako or even better.
 
..genge la Magufuli wamechukia sana Dr.Mwele kuzikwa kwa heshima namna hii.

..kwasababu Magufuli alimfukuza kazi basi walitamani Dr.Mwele aahidhirike hata ktk mazishi yake.
 
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo ...

37493B80-E166-4657-9D20-97E50CC397E2.jpeg
 
Anazeeka vibaya, hana mengine ya msingi ya kuongea ameamua kuwakejeli waliopumzika udongoni kweli!!!
Shida hao waliopumzika udongoni wakiwa hai walimpiga pini asiwaseme. Binadamu ukimbana asifanye jambo fulani siku akipata mwanya ndio kama hivi. Ni kama mtoto aliyekulia kwenye 'mageti' makubwa kwa miaka kadhaa,siku akipata mwanya anafanya mambo kwa uhuru ili kufidia.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom