Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Mawaziri, wakuu wa mikoa /wilayamaprofesa (namkumbuka mmoja UDSM zoology), madaktari nk walipata kikombe cha babu
 
Mpaka sasa umeshindwa kusema unatumia kipimo gani kupima akili kubwa au smart Brain. Kipimo gani tukitumie kupima akili kubwa za watu wa kanda ya ziwa tofauti na Wakinga, wazaramo, wachaga, Wamasai, Wanyakyusa n.k?
 
Sio tu minofu ya Samaki inayowekenda Ulaya, hata madini, pamba na Kahawa vinakwenda Ulaya.
 
Mpaka sasa umeshindwa kusema unatumia kipimo gani kupima akili kubwa au smart Brain. Kipimo gani tukitumie kupima akili kubwa za watu wa kanda ya ziwa tofauti na Wakinga, wazaramo, wachaga, Wamasai, Wanyakyusa n.k?
Nafikili hoja yangu haujaelewa, and not saying here watu wa kanda ya ziwa intellectually are better than other tribes as you have mentioned, that is yet to be proven, and has not been the focus of our discussion from the onset.

Kuna anecdotal evidence watu waliosoma wa kanda ya ziwa kama hao wahaya na wakerewe wametengeza ma Prof wengi tu nchi, na usitake kusema hiyo haiko linked na intelligence quotient..

Jamii yetu ingekuwa Ina elimu bora na almost kila mtoto anasoma then we could have been in a position to measure that, sababu nakuhakikishia inawezekana as we argue here kuna genius analima kwa jembe somewhere simply bcz he didn't get the chance. Labda jiulize kwann wahaya na wakerewe wana portion or at least had a greater number ya ma Prof nchi hii na nje? That's food for thought and probably a research question!!

Kwa anecdotal evidence zilizopo + scientific research zinazo support I strongly believe watu wa kanda ya ziwa wanaweza kuwa na the highest IQ, it's an opinion , based on scientific and intelligent guess.
 
Reactions: Ame
Sio tu minofu ya Samaki inayowekenda Ulaya, hata madini, pamba na Kahawa vinakwenda Ulaya.
What are you implying? Unajua kuna watu huwa wana chuki hadi anakuwa blinded anapotengeza hoja, ni sawa sawa mwingine anaweza mchukia Samia just bcz ni. Mwanamke au muislam bila kuwa na sababu zozote za msingi, wengine independent thinkers atampinga sababu anaendekeza kukopa, au anafanya poor decisions kwenye national resources, corruption etc. If you're an intellectual person you'll skip the former,

Labda una bifu na watu wa kanda ya ziwa? Facts are facts wengi walioenda shule wakapata elimu bora are good upstairs. Nimesoma one of the special school nchi hii nimekutana nao wapo vizuri sana, na kitu Cha ajabu karibu nusu ya darasa letu waliokuwa wanatoka huko...chunguza ma daktari wengi wanatoka wapi etc...au nenda college of engineering udsm utapata data, at least kipindi nasoma walikuwa wengi.
 
Sijui asilimia ya maprofesa wa Kihaya na Ukerewe nchi hii kulinganisha na makabila mengine hivyo sina uhakika haya unayosema kama ni kweli.

Ngoja nikupe darasa;
Watu wengi kutoka jamii fulani kusoma kwa wingi na elimu kubwa ni suala la uwepo, upatikanaji na uwezekano wa kuifikia fursa hiyo. Wakoloni wa kizungu walipofika Tanganyika waliweka vituo vyao vingi(shule, seminary, vituo vya afya na makanisa)baadhi ya maeneo ikiwemo kanda ya kaskazini na Bukoba na hiyo iliwapa fursa watu wengi wa maeneo hayo kuweza kupata elimu kwa urahisi, hiyo itapelekea wengi wao kufika vyuo vikuu na inawezekana ikapelekea wengi wao pia kuwa maprofesa lakini hiyo haimaanishi hao watu wana IQ kubwa kuliko wenzao waliokosa fursa hiyo ya elimu kuanzia hatua za msingi.
 
Hiyo historia naijua ya missionary, it's not a new topic, variation iko hapa kwa wahaya, ukitaka kuiona utaiona, katika hao walioletewa hizo facilities including wanyakyusa pia, wahaya ndio walitengeneza ma Prof wengi sana, na ukimwi uliwafyeka wengi sana, hii variation sio coincidence,. there's a scientific reason sababu waliokuwa wanachukuliwa udsm by then walikuwa waliofanya vizuri tu na ilikuwa some sort of privilege, why not other tribes? Kama haujui ndio nakwambia wahaya walikuwa wengi sana vyuoni. Suala la ku verify nachokwambia ni lako ukipenda. Sasa hiyo variation watu huwa wanaifanyia tafiti!!
 
Wewe unatumia opinions ambazo ni fallacies, myths, na misconceptions kujaribu kuzilazimisha kama facts. Mpaka sasa umeshindwa kuleta kipimo au ushahidi wowote ambao ni fact kutuaminisha watu wa kanda ya ziwa wana akili sana kuliko maeno mengine.
Huwezi kutumia nusu ya darasa lako katika utafiti usio na chembe ya sayansi kutuaminisha maoni yako, mwingine pia anaweza kuja na kusema nusu ya darasa lake waliokuwa na ufaulu mzuri walikuwa Wakinga hivyo nao ni smart sana.

Sijui kama kuna ukweli wowote madaktari wengi nchi wametoka kanda ya ziwa, hata kama hiyo ni kweli inawezekana ni wengi kwa idadi kwa sababu kanda ya ziwa ina wakazi wengi zaidi hivyo pia unaweza kukuta wamachinga wengi, madereva bodaboda wengi, vibaka wengi n.k wanatoka pia kanda hiyo.
 
Kwa kuwa umependa kuelimishwa, nichangie kwa kutoa maoni haya;

1. Kujadiliwa, kusemwa au kufanya/kufanywa rejea kwa marehemu aliyekwisha zikwa na msiba wake kuwa umeisha haikuwahi kuwa na haitakuwa kosa, kukosa busara au hekima katika utamaduni wowote wa kitanzania na hata Afrika na zaidi hata katika imani za dini zote . Mifano ipo mingi Sana kwa kila mkitadha ama uwe wa mabaya au mazuri. Naamini Ume soma vitabu vingi vya kitanzania, Afrika na vile vya imani vilivyo na rejea mbalimbali za watu wengi waliokufa kwa kuyataja mazuri yao au mabaya yao.

2. Matumizi ya alama hii ! Maana yake ni kuonesha hisia mbalimbali ambazo zaweza kuwa hasi au Chanya. Hivyo unapotumia alama hii msomaji anaweza kuitafsiri ktk Hali Chanya au Hasi kutokana na mtiririko wa mawazo na mantiki inayo wasilishwa,

Alama ! Huonesha hisia ya hasira, furaha, mshangao, chuki, nk. Kwa maana hiyo rejea mantiki ya mstari/ aya yako ya kwanza uliyoweka hizo alama tatu (!!!) Utona kuwa inawakilisha hasira japo kwa mantiki halisi ya sentesi haupaswa kuziweka tatu. Ahsante.



 
Hiyo historia naijua ya missionary, it's not a new topic, variation iko hapa kwa wahaya, ukitaka kuiona utaiona, katika hao walioletewa hizo facilities including wanyakyusa pia, wahaya ndio walitengeneza ma Prof wengi sana, na ukimwi uliwafyeka wengi sana, hii variation sio coincidence,. there's a scientific reason sababu waliokuwa wanachukuliwa udsm by the walikuwa waliofanya vizuri tu na ilikuwa some sort of privilege, why not other tribes? Kama haujui ndio nakwambia wahaya walikuwa wengi sana vyuoni. Suala la ku verify nachokwambia ni lako ukipenda. Sasa hiyo variation watu huwa wanaifanyia tafiti
Haya bana ngoja nikuache, ila ujue tofauti ya anecdotal na scientific facts, sehemu nikiposema kuna scientific facts zipo, nikiposema anecdotal I meant that.

Ukifatilia hoja zangu zina majibu ya yote haya uliyorudia kuuliza, unfortunately I can't go back and requote.
 
Asante kwa elimu.Mimi niliitumia '!' kuonyesha msisitizo pasipo kujua mtachukulia ni hasira.Kueni na amani 😋.

Sasa mkuu kuhusu no. 1 Mimi sipingi kuongelewa kwa marehemu bali napinga kuuliza maswali ambayo yeye alibidi ayajibu.

Ninasema hivi kwa sababu hata tukiuliza hatutoweza pata majibu sahihi au yenye uhalisia.Muhusika wa kujibu alishatoweka.

Kwa maana hii,ni rahisi kumzushia uongo marehemu na watu wakaamini ili watesi wake waaminike kwa raia.NCHI CHAFU HII KATIKA SIASA.
 
Ndio sababu ya watu wa visiwani kuwa na akili sana au IQ kubwa ??!!
 
Naomba kufahamishwa tu ! He ni nchi gani zilizoendelea sana katika hii dunia ambazo hazikutawaliwa na madikteta kwanza ??!! ( je )
 
Ofcourse ila visiwani I guess una maanisha visiwa vya ziwa Victoria!!
Kwa nini sio Unguja na Pemba alikotoka Abdularazak Gurnah mshindi wa Nobel na Salim Ahmed Salim?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…